The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Wanaccm wengi huamini kwamba chama chao ni chama imara na huilinganisha na miongoni mwa vyama imara sana hapa Africa na duniani.
Ila jambo moja ambalo linawaondolea hizo sifa zote na kuwafanya wanyonge tena ni linapokuja suala la uchaguzi huru na wa haki usiokuwa na mauzauza kama tuliyoyashuhudia chaguzi kadhaaa zilizopita
Kila kiongozi wa ccm hutoka mishipa akijisifu kuwa chama niimara ila ukimwelezea kuhusu mambo meusi wanayofanyiwa wapinzani wakati wa uchaguzi anabaki na ubishi na ushabiki tu