Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao

IMG_3444.jpeg

Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo.

1. Djigui Diarra
2. Israel Mwenda
3. Chadrack Boka
4. Dickson Job
5. Ibrahim Bacca
6. Khalid Aucho
7. Maxi Nzengeli
8. Duke Abuya
9. Prince Dube
10. Pacome Zouzoua
11. Clement Mzize
 
Sasa hawa nao wanataka kujionyesha hawana akili, unasemaje mchezo upo wakati msimamizi kasema hakuna mchezo.

Hizi timu za kariakoo zinadeka sana. Kama watoto vile.
 
Naona Uto wamechanganyikiwa ..
Ukiwa mkubwa lazuma uheshimiwe!
Uwanja wa serikali hao makomandoo uchwara wa uto wametokea wapi?...
Mambo ya kifala kabisa..
 
View attachment 3263721

Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo.

1. Djigui Diarra
2. Israel Mwenda
3. Chadrack Boka
4. Dickson Job
5. Ibrahim Bacca
6. Khalid Aucho
7. Maxi Nzengeli
8. Duke Abuya
9. Prince Dube
10. Pacome Zouzoua
11. Clement Mzize
Haki tena...Makolo waliona mbali😂😂😂😅😅
Hakii.. wana haki ya Kuufyata
 
Naona Uto wamechanganyikiwa ..
Ukiwa mkubwa lazuma uheshimiwe!
Uwanja wa serikali hao makomandoo uchwara wa uto wametokea wapi?...
Mambo ya kifala kabisa..
Hao Makimandoo umejuaje ni Wa Yanga...
Utetezi wa hovyooo...
 
Sasa hawa nao wanataka kujionyesha hawana akili, unasemaje mchezo upo wakati msimamizi kasema hakuna mchezo.

Hizi timu za kariakoo zinadeka sana. Kama watoto vile.
Kusema ukweli akili hawana, ila tatizo ni kwenye kujionyesha kama hawana.
 
Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
 
Wangekuwa serious hivyo kimataifa sasa hivi wangekuwa wanasubiri kucheza robo fainali.

Unaweza kukuta Yanga TV ni channel ya vichekesho kule mbinguni.
 
Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
Sisi mashabiki wa simba TUTAENDA na tutaujaza uwanja
 
Back
Top Bottom