Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo

Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo

Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao

View attachment 3263721

Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo.

1. Djigui Diarra
2. Israel Mwenda
3. Chadrack Boka
4. Dickson Job
5. Ibrahim Bacca
6. Khalid Aucho
7. Maxi Nzengeli
8. Duke Abuya
9. Prince Dube
10. Pacome Zouzoua
11. Clement Mzize
Dah! Kwa kikosi hiki Simba tumepoteza nafasi ya wazi ya ushindi
 
Sasa hawa nao wanataka kujionyesha hawana akili, unasemaje mchezo upo wakati msimamizi kasema hakuna mchezo.

Hizi timu za kariakoo zinadeka sana. Kama watoto vile.
Kanuni haijafuatwa, mechi huahirishwa 24 hours kabla ya kipute. Hivyo wanacomply.
 
Back
Top Bottom