Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ulitaka wafanyeje,,na mbumbumbu ni wangapi waliokimbia mechiWanadhihirisha ile kauli ya utopolo wenye akili ni wawili tu
Haki tena...Makolo waliona mbali😂😂😂😅😅Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao
View attachment 3263721
Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo.
1. Djigui Diarra
2. Israel Mwenda
3. Chadrack Boka
4. Dickson Job
5. Ibrahim Bacca
6. Khalid Aucho
7. Maxi Nzengeli
8. Duke Abuya
9. Prince Dube
10. Pacome Zouzoua
11. Clement Mzize
Hao Makimandoo umejuaje ni Wa Yanga...Naona Uto wamechanganyikiwa ..
Ukiwa mkubwa lazuma uheshimiwe!
Uwanja wa serikali hao makomandoo uchwara wa uto wametokea wapi?...
Mambo ya kifala kabisa..
Watapambana na nani 🤣😂Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao
Kusema ukweli akili hawana, ila tatizo ni kwenye kujionyesha kama hawana.Sasa hawa nao wanataka kujionyesha hawana akili, unasemaje mchezo upo wakati msimamizi kasema hakuna mchezo.
Hizi timu za kariakoo zinadeka sana. Kama watoto vile.
Utakujakuelewasiku sio nyingi kwanini wanafanya hivyoWanadhihirisha ile kauli ya utopolo wenye akili ni wawili tu
Sisi mashabiki wa simba TUTAENDA na tutaujaza uwanjaMimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
Wamepita hapa Kampilipiti Buhigwe wanaenda kucheza michuano ya kugombea kombe la FISI Nyangwale.Sijui Simba kajificha wapi muda huu..