The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mkuu utafurahia hii Hadi lini?Waache waendelee kututenga
Sasa unataka TFF ifanyeje kuhusu Mbeya ikiwa wenyewe kwa wenyewe hawalewani?Ndio hivyo ukweli lazima usemwe..
Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF...
Licha ya kuwa na timu Kati ya 2 hadi 4 kwenye ligi kuu na timu zaidi ya 2 ,ligi daraja la kwanza lakini hautiliwi maanani kwenye maendeleo ya soka..
Hakuna mradi wowote wa kuimarisha viwanja kwa nyasi bandia wala kufunga taa..miradi hiyo iko Mwanza,Kagera,Dodoma na Morogoro..
Hakuna mradi wowote wa kujenga viwanja,TFF inajenga Singida,Geita,Tanga,Dar na Mwanza.
Kama ilivyo kwenye siasa,Watu wa Mbeya wameendelea kujikongoja wenyewe.. Bora ieleweke kwamba Mbeya sio Tanzania vinginevyo tuambiwe tutatengwa Hadi lini?👇
View attachment 2227203
View attachment 2227204
Toa ujinga wako hapa ,nani ambao hawaelewani? Mikoa mingine ya kichovu kwenye soka wanafanyaje?Sasa unataka TFF ifanyeje kuhusu Mbeya ikiwa wenyewe kwa wenyewe hawalewani?
Wakiweza wazipunguze kama wameshindwa wajenge miundombinu ya kustahili huko Mbeya kulingana na mchango wake kwenye soka..Ulitaka wafanyaje sasa?
Wazipunguze au? TFF wana mradi wa kufunga taa au kujenga viwanja?
Nini way forward? Kulalamika bila kuchukua hatua ni upuuziSisi m
Mbeya tulishatengwa na hiyo serikali yenu kitambo sana
Sio sawa kabisa,Kule Chunya , Halmashauri inajikongoja kujenga uwanja angalau wenye hadhi lakini sio Serikali Wala Tff ambao wako tayari kusaidia ujenzi japo kwa pesa za Fifa achilia mbali ushauri wa kitaalamu tuu..Sisi m
Mbeya tulishatengwa na hiyo serikali yenu kitambo sana
We poyo.yo waulize wakubwa wako kuhusu mchango wa TANGA kwenye michezo kenge ww, huko mbeya timu gani ilishawahi kuchukua ubingwa wa nchi?yaani tafuta mkoa wa kubeza sio TANGA hujui chochote kwenye michezoMikoa isiyo na Mchango wowote wa maana kwenye soka ndio wanathaminiwa..
Hii ni Youth complex Academy ya tff huko Tanga [emoji116]
View attachment 2227646
View attachment 2227647
View attachment 2227648
Mwanza,dar,tanga,na baadhi ya mikoa wameshatoa timu zaidi ya mbili mbona wao hawalii ovyo kama nyinyi walima viaz?chezen mpira kila kitu kina wakati wakeHilo liopo wazi kabisa na ndo maana laana ya kutoendelea kisoka inaendelea kututafuna.. upendeleo wa kufanya maendeleo nyumbani mkoani kwako hata kama hakuna chochote unacholenga kukifanya.. mbeya imekuwa ikipeleka timu nyingi sana ligi kuu lakini hakuna anaejali kupeleka miundombinu Kule. sasahivi watakuwa na timu nne. keni gold kateleza kidogo tu ingekuwa ya tano.
Fala usiyejua chochote..We poyo.yo waulize wakubwa wako kuhusu mchango wa TANGA kwenye michezo kenge ww, huko mbeya timu gani ilishawahi kuchukua ubingwa wa nchi?yaani tafuta mkoa wa kubeza sio TANGA hujui chochote kwenye michezo
Wameshatoa lini? Dar ilie kwa lipi ikiwa kila kitu kinafanyika Dar?Mwanza,dar,tanga,na baadhi ya mikoa wameshatoa timu zaidi ya mbili mbona wao hawalii ovyo kama nyinyi walima viaz?chezen mpira kila kitu kina wakati wake