The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndio hivyo ukweli lazima usemwe..
Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF...
Licha ya kuwa na timu Kati ya 2 hadi 4 kwenye ligi kuu na timu zaidi ya 2 ,ligi daraja la kwanza lakini hautiliwi maanani kwenye maendeleo ya soka..
Hakuna mradi wowote wa kuimarisha viwanja kwa nyasi bandia wala kufunga taa..miradi hiyo iko Mwanza,Kagera,Dodoma na Morogoro..
Hakuna mradi wowote wa kujenga viwanja,TFF inajenga Singida,Geita,Tanga,Dar na Mwanza.
Kama ilivyo kwenye siasa,Watu wa Mbeya wameendelea kujikongoja wenyewe.. Bora ieleweke kwamba Mbeya sio Tanzania vinginevyo tuambiwe tutatengwa Hadi lini?👇