mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hiyo singida wanajenga wapi?Sio sawa kabisa,Kule Chunya , Halmashauri inajikongoja kujenga uwanja angalau wenye hadhi lakini sio Serikali Wala Tff ambao wako tayari kusaidia ujenzi japo kwa pesa za Fifa achilia mbali ushauri wa kitaalamu tuu..
Ila wameenda kujenga maeneo mengine kama Singida,Geita, Kigamboni,Arusha nk
Huwez kuibeza Tanga ,, Moro na Mbeya.We poyo.yo waulize wakubwa wako kuhusu mchango wa TANGA kwenye michezo kenge ww, huko mbeya timu gani ilishawahi kuchukua ubingwa wa nchi?yaani tafuta mkoa wa kubeza sio TANGA hujui chochote kwenye michezo
WAnyaki wanajipuuza wenyewe.Ndio hivyo ukweli lazima usemwe..
Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF...
Licha ya kuwa na timu Kati ya 2 hadi 4 kwenye ligi kuu na timu zaidi ya 2 ,ligi daraja la kwanza lakini hautiliwi maanani kwenye maendeleo ya soka..
Hakuna mradi wowote wa kuimarisha viwanja kwa nyasi bandia wala kufunga taa..miradi hiyo iko Mwanza,Kagera,Dodoma na Morogoro..
Hakuna mradi wowote wa kujenga viwanja,TFF inajenga Singida,Geita,Tanga,Dar na Mwanza.
Kama ilivyo kwenye siasa,Watu wa Mbeya wameendelea kujikongoja wenyewe.. Bora ieleweke kwamba Mbeya sio Tanzania vinginevyo tuambiwe tutatengwa Hadi lini?👇
View attachment 2227203
View attachment 2227204
Upo sahihi hata maendeleo tu kawaida hawataki ku invest kwetuSisi m
Mbeya tulishatengwa na hiyo serikali yenu kitambo sana
Sio ujinga mkuu, jirekebisheni kwanza, nyie kwenu kila kitu lazima mtumie uchawi....nani anataka kudeal na watu kama nyie?Toa ujinga wako hapa ,nani ambao hawaelewani? Mikoa mingine ya kichovu kwenye soka wanafanyaje?
Kwa nini haya hayafanyiki Mbeya? 👇
View attachment 2227642
View attachment 2227643
Mnakera nyie basi tuu.Juzi hapo mumeipokonya timu yetu points kwa makosa ya Namungo..Sio ujinga mkuu, jirekebisheni kwanza, nyie kwenu kila kitu lazima mtumie uchawi....nani anataka kudeal na watu kama nyie?
Hizi habari safi sana, basi lazima mshikishwe adabu tuMnakera nyie basi tuu.Juzi hapo mumeipokonya timu yetu points kwa makosa ya Namungo..
Mumemfungia kocha kwa miaka 5 kwa uonezi tuu.
StupidHizi habari safi sana, basi lazima mshikishwe adabu tu
As stupid can beStupid
Uchawi? Ushawahi ishi Mbeya? Au uchawi ni kutoichagua CCM?Sio ujinga mkuu, jirekebisheni kwanza, nyie kwenu kila kitu lazima mtumie uchawi....nani anataka kudeal na watu kama nyie?
Mtoto una hasira za kijinga sana, ujitenge uende wapi.....kuna nini la maana pale Mbeya, mji tu wenyewe ishu. Nimeishi kule kwa shida kwa miaka 2 na nilishukuru sana baada ya kupata uhamisho.Uchawi? Ushawahi ishi Mbeya? Au uchawi ni kutoichagua CCM?
Serikali ikiendelea kuitenga Mbeya, Tutadai uhuru maana miaka nenda rudi ni tunapuuzwa makusudi.
Halafu turudi kwenye uchawi, una takwimu za mikoa inayoongoza kwa uchawi Tz au umeropokwa?
Taja mkoa wako kwanza halafu linganisha na Mbeya! Kuanzia gharama za maisha na upatikanaji wa fedha we kubwa jinga ambaye huna hasira.Mtoto una hasira za kijinga sana, ujitenge uende wapi.....kuna nini la maana pale Mbeya, mji tu wenyewe ishu. Nimeishi kule kwa shida kwa miaka 2 na nilishukuru sana baada ya kupata uhamisho.
Nini way forward? Kulalamika bila kuchukua hatua ni upuuzi
Mnakera nyie basi tuu.Juzi hapo mumeipokonya timu yetu points kwa makosa ya Namungo..
Mumemfungia kocha kwa miaka 5 kwa uonezi tuu.
Sawa, natoka na ninaishi MwanzaTaja mkoa wako kwanza halafu linganisha na Mbeya! Kuanzia gharama za maisha na upatikanaji wa fedha we kubwa jinga ambaye huna hasira.
Dad yako ndio mbwaHapa haulalamiki wee mbwa
Wakajinyonge kwa wivu wao..Upo sahihi hata maendeleo tu kawaida hawataki ku invest kwetu