Licha ya Mkoa wa Mbeya kutoa timu nyingi za ligi kuu unapuuzwa na TFF

Licha ya Mkoa wa Mbeya kutoa timu nyingi za ligi kuu unapuuzwa na TFF

Sio sawa kabisa,Kule Chunya , Halmashauri inajikongoja kujenga uwanja angalau wenye hadhi lakini sio Serikali Wala Tff ambao wako tayari kusaidia ujenzi japo kwa pesa za Fifa achilia mbali ushauri wa kitaalamu tuu..

Ila wameenda kujenga maeneo mengine kama Singida,Geita, Kigamboni,Arusha nk
Hiyo singida wanajenga wapi?
 
We poyo.yo waulize wakubwa wako kuhusu mchango wa TANGA kwenye michezo kenge ww, huko mbeya timu gani ilishawahi kuchukua ubingwa wa nchi?yaani tafuta mkoa wa kubeza sio TANGA hujui chochote kwenye michezo
Huwez kuibeza Tanga ,, Moro na Mbeya.

Wewe na mtoa mada wote mmekosea. Tukuyu stars ilishachukua ubingwa ligi kuu, Kama ilivyo Mtibwa ya moro
 
Ndio hivyo ukweli lazima usemwe..

Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF...

Licha ya kuwa na timu Kati ya 2 hadi 4 kwenye ligi kuu na timu zaidi ya 2 ,ligi daraja la kwanza lakini hautiliwi maanani kwenye maendeleo ya soka..

Hakuna mradi wowote wa kuimarisha viwanja kwa nyasi bandia wala kufunga taa..miradi hiyo iko Mwanza,Kagera,Dodoma na Morogoro..

Hakuna mradi wowote wa kujenga viwanja,TFF inajenga Singida,Geita,Tanga,Dar na Mwanza.

Kama ilivyo kwenye siasa,Watu wa Mbeya wameendelea kujikongoja wenyewe.. Bora ieleweke kwamba Mbeya sio Tanzania vinginevyo tuambiwe tutatengwa Hadi lini?👇

View attachment 2227203

View attachment 2227204
WAnyaki wanajipuuza wenyewe.
 
Hutaweza sikia serikali yetu tukufu ikipanga mipango ya kuinvest mbeya kama inavyofanya huko.. mwanza, arusha, tanga na dar.. na hata wabunge na viongozi wetu wa nyanda za juu kusini wapo kimyaaa hawawezi hata kujielezea kuhusu mkoa wao
 
Sio ujinga mkuu, jirekebisheni kwanza, nyie kwenu kila kitu lazima mtumie uchawi....nani anataka kudeal na watu kama nyie?
Mnakera nyie basi tuu.Juzi hapo mumeipokonya timu yetu points kwa makosa ya Namungo..

Mumemfungia kocha kwa miaka 5 kwa uonezi tuu.
 
Sio ujinga mkuu, jirekebisheni kwanza, nyie kwenu kila kitu lazima mtumie uchawi....nani anataka kudeal na watu kama nyie?
Uchawi? Ushawahi ishi Mbeya? Au uchawi ni kutoichagua CCM?

Serikali ikiendelea kuitenga Mbeya, Tutadai uhuru maana miaka nenda rudi ni tunapuuzwa makusudi.

Halafu turudi kwenye uchawi, una takwimu za mikoa inayoongoza kwa uchawi Tz au umeropokwa?
 
Mtoto una hasira za kijinga sana, ujitenge uende wapi.....kuna nini la maana pale Mbeya, mji tu wenyewe ishu. Nimeishi kule kwa shida kwa miaka 2 na nilishukuru sana baada ya kupata uhamisho.
 
Mtoto una hasira za kijinga sana, ujitenge uende wapi.....kuna nini la maana pale Mbeya, mji tu wenyewe ishu. Nimeishi kule kwa shida kwa miaka 2 na nilishukuru sana baada ya kupata uhamisho.
Taja mkoa wako kwanza halafu linganisha na Mbeya! Kuanzia gharama za maisha na upatikanaji wa fedha we kubwa jinga ambaye huna hasira.
 
Taja mkoa wako kwanza halafu linganisha na Mbeya! Kuanzia gharama za maisha na upatikanaji wa fedha we kubwa jinga ambaye huna hasira.
Sawa, natoka na ninaishi Mwanza
1. Mwanza
mwanza.jpeg

2. Mbeya, chimbuko la wachawi
mbeya.jpeg

👆Hapo ni katikati ya jiji la Mbeya yaani downtown.
 
Upo sahihi hata maendeleo tu kawaida hawataki ku invest kwetu
Wakajinyonge kwa wivu wao..

Wameifangia figisu Mbeya kwanza Ili kuibeba Namungo ishiriki CAF kwa expense ya Mbeya Kwanza kushuka Daraja..

Tutajuana mbele kwa mbele,Ihefu waleee🔥🔥🔥

Screenshot_20220522-091830.png

Screenshot_20220522-091936.png
 
Back
Top Bottom