Licha ya tofauti zao, kwa uwingi wetu Watanzania, watu hawa tuwalazimishe wafanye kwa niaba yetu

Ok, Kama wewe kura yako umeamua ikaharibikie kwake, fanya hivyo lakini usimatemate hoja kulazmisha na wengine wafikiri unavyofikiri wewe!...
Mkuu, kwenye kuongoza nchi kuna mambo mengine hata kama yanagharimu uhai wa mtu na kama katika kufanya hivyo, wengi wa hao watakaobaki ndio wawe salama, hufanyika Tu, hata ungepewa wewe nchi

Hii ni Sawa na kusema, eti unaabilia zaidi ya 60 ndani ya basi, uhatarishe uhai wa watu hao Kwa kumkwepa mtu mmoja anayekatisha Barabara kihasara hasara usimgonge na basi lipo kwenye mteremko na pembeni kukiwa na shimo,si Bora ugonge huyo mmoja ili hao 60 wapone

Huwezi kuwa kiongozi, hasa amiri Jeshi Kwa kuogopa kuchukiwa eti usichukue hatua Kwa ajiri ya maslahi mapana ya Taifa na watu walio wengi

Utakuwa sio Raisi wewe, na hufai,

Mtanzania mmoja kutandikwa lisasi Kwa kosa la kuunda ugaidi ili aje kuuwa watu makumi Kwa makumi ni kosa na kuwafanya mamiloni ya watu kuwa wakimbizi ni kosa mkuu??

Ni mifano tu mkuu, ingawa ki ukweli haifai Kwa namna zote, lakini Kwa mfano huo utafanyaje kama ni wewe mkuu
 
Kwa hiyo kuzungumzia siasa ni Hadi uijue katiba?

Mkuu, we vipi aisee
Unaposema Lissu ateuliwe kuwa waziri mkuu unajua hitaji la katiba juu ya nafasi ya uwaziri mkuu ?

Kama hujui katiba ya nchi huna sababu ya kuzungumzia siasa labda kama unaongea na watoto wa shule ya msingi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwenye kuongoza nchi kuna mambo mengine hata kama yanagharimu uhai wa mtu na kama katika kufanya hivyo, wengi wa hao watakaobaki ndio wawe salama, hufanyika Tu, hata ungepewa wewe nchi

Hii ni Sawa na kusema, eti unaabilia zaidi ya 60 ndani ya basi, uhatarishe uhai wa watu hao Kwa kumkwepa mtu mmoja anayekatisha Barabara kihasara hasara usimgonge na basi lipo kwenye mteremko na pembeni kukiwa na shimo,si Bora ugonge huyo mmoja ili hao 60 wapone

Huwezi kuwa kiongozi, hasa amiri Jeshi Kwa kuogopa kuchukiwa eti usichukue hatua Kwa ajiri ya maslahi mapana ya Taifa na watu walio wengi

Utakuwa sio Raisi wewe, na hufai,

Mtanzania mmoja kutandikwa lisasi Kwa kosa la kuunda ugaidi ili aje kuuwa watu makumi Kwa makumi ni kosa na kuwafanya mamiloni ya watu kuwa wakimbizi ni kosa mkuu??

Ni mifano tu mkuu, ingawa ki ukweli haifai Kwa namna zote, lakini Kwa mfano huo utafanyaje kama ni wewe mkuu
Huna akili

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Uzi wako ulikuwa mzuri ila ukaharibu kwa kusema unamchagua Magufuli. Unaonyesha unakampeni. Kwa nini unazunguka zuguka ungesema tu straight mimi nampenda Magufuli kwa kuwa ni jembe. Kumchagua Magufuli au Lisu ni siri yako. Nani amekuuliza unamchagua nani. Inawezekana hapa unatudanganya tu labda utamchagua Lisu.
 
Back
Top Bottom