Mkuu, kwenye kuongoza nchi kuna mambo mengine hata kama yanagharimu uhai wa mtu na kama katika kufanya hivyo, wengi wa hao watakaobaki ndio wawe salama, hufanyika Tu, hata ungepewa wewe nchi
Hii ni Sawa na kusema, eti unaabilia zaidi ya 60 ndani ya basi, uhatarishe uhai wa watu hao Kwa kumkwepa mtu mmoja anayekatisha Barabara kihasara hasara usimgonge na basi lipo kwenye mteremko na pembeni kukiwa na shimo,si Bora ugonge huyo mmoja ili hao 60 wapone
Huwezi kuwa kiongozi, hasa amiri Jeshi Kwa kuogopa kuchukiwa eti usichukue hatua Kwa ajiri ya maslahi mapana ya Taifa na watu walio wengi
Utakuwa sio Raisi wewe, na hufai,
Mtanzania mmoja kutandikwa lisasi Kwa kosa la kuunda ugaidi ili aje kuuwa watu makumi Kwa makumi ni kosa na kuwafanya mamiloni ya watu kuwa wakimbizi ni kosa mkuu??
Ni mifano tu mkuu, ingawa ki ukweli haifai Kwa namna zote, lakini Kwa mfano huo utafanyaje kama ni wewe mkuu