Hili jambo nimelitafakari sana, wakereketwa wake wanazidi kukazia ya kuwa yeye ni mfalme lakini anaonekana kupotea kabisa katika ramani na Sasa kawa level za akina Rich Mavoko, tatizo a good number ya supporters wake wamemtelekeza na kuhamia kwa Mmakonde.Mfalme kiba simuoni apo
Yaani atoke kwa sababu yako, acha wivu wa kike. Popote ulipo pambana/shindana na mpinzani usisingizie timu wala uwanja hasa kama uko kwenye timu uliyochagua/uliyopenda mwenyewe.Mwambie Rayvany atoke WCB alafu njoo uanzishe Uzi mwingine
Waambie hizo media nyingine ziache kupiga nyingi za harmonize tuone.. Harmonize anabebwa Sana na media i.e clouds, efm, Eatv and ea redio etc huko rayvanny Hana support yoyote kwenye hizo media zaidi ya kukomaa mtandaoni na wasafi media ..Mwambie Rayvany atoke WCB alafu njoo uanzishe Uzi mwingine
Mkuu kibongo bongo hakuna mapromota wanaoeleweka , so kilichobaki ni ku-fight kwenye vyanzo vya Mzungu , si haba boss....Dunia ya Mungu Ila Vitu vya MzunguWasanii bwana wana matambo sana, nakumbuka vanessa mdee siku moja anaukizwa spotify kaingiza kiasi gani, akasema wanamlipa zaidi ya milioni mia kwa mwezi π π π .
Hapo na hizo streams 788k za diamond hajaingiza zaidi ya 10,959,504. Spotify wanalipa kati ya 0.003$ to 0.006$ per stream.
Inahitaji mtu awe na stream za kutosha kila mwez walau kama diamond kuingiza pesa ya maana.
Ila siyo mbaya wimbo huo huo akivuta youtube, spotify, amazon, itunes akaunga mapato si haba.
Mmmmh kaka hapo kwenye malipo n kama unatupiga hv. Ni uongo uliotukuka, itakuwa haina maana mtu kulipwa 6$ ambayo n kama 13k - 15k kwa views 2000 means kwa views 200k alipwe 60$, n bora ukafanye biashara ya machungwa.Wasanii bwana wana matambo sana, nakumbuka vanessa mdee siku moja anaukizwa spotify kaingiza kiasi gani, akasema wanamlipa zaidi ya milioni mia kwa mwezi π π π .
Hapo na hizo streams 788k za diamond hajaingiza zaidi ya 10,959,504. Spotify wanalipa kati ya 0.003$ to 0.006$ per stream.
Inahitaji mtu awe na stream za kutosha kila mwez walau kama diamond kuingiza pesa ya maana.
Ila siyo mbaya wimbo huo huo akivuta youtube, spotify, amazon, itunes akaunga mapato si haba.
Youtube tu, wanalipa almost dollar 3 kwa views 1000 na hapo pia kuna factors nyingi. Sasa spotify kwa hiyo hesabu haona tofauti na youtube.Mmmmh kaka hapo kwenye malipo n kama unatupiga hv. Ni uongo uliotukuka, itakuwa haina maana mtu kulipwa 6$ ambayo n kama 13k - 15k kwa views 2000 means kwa views 200k alipwe 60$, n bora ukafanye biashara ya machungwa.
Umetudanganya kaka, wewe ni muongo muongo tena muongo
Ntarudi kufuta nlichokiandika nkipata ukweli wa hili, ila itakuwa haina maana ya kuweka kazi huko kwa malipo ya aina hii. N bora kupiga shoo za kiingilio bia kila wikiYoutube tu, wanalipa almost dollar 3 kwa views 1000 na hapo pia kuna factors nyingi. Sasa spotify kwa hiyo hesabu haona tofauti na youtube.
We endelea kusema mimi muongo, ila information zote ziko online spotify wanalipa kiasi gani, itunes wanalipa kias i gani.
Ndiyo maana ilipoanza kuna wasanii huko mbele walikataa kuweka kazi zao, na mpaka leo wapo.
We fanya tu kugoogle spotify inalipa kiasi gani per stream utaona.
Hapana hizo ni streams za mwezi mmoja, sasa ukijumlisha youtube, spotify, itunes, amazon na kote unakuta amevuta zaodi ya mils ishirini au 30, na bado hajapiga show na bado ataendelea vuta ndo uzuri wa hizi platformNtarudi kufuta nlichokiandika nkipata ukweli wa hili, ila itakuwa haina maana ya kuweka kazi huko kwa malipo ya aina hii. N bora kupiga shoo za kiingilio bia kila wiki