isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Anachoeleza Nafaka ni kweli, Spotify ni 0.3 hadi 0.6 na hii imeanza last year before ilikuwa 0.2 hadi 0.4 wasanii wengi wanamlaumu Daniel Ek kwa kutotoa loyalties za kutosha.Ntarudi kufuta nlichokiandika nkipata ukweli wa hili, ila itakuwa haina maana ya kuweka kazi huko kwa malipo ya aina hii. N bora kupiga shoo za kiingilio bia kila wiki
Ukiangalia Diamond Platnumz kwa YouTube each month hakosi 20M bila kutoa nyimbo ikiwa ametoa anafika 100M.Hapana hizo ni streams za mwezi mmoja, sasa ukijumlisha youtube, spotify, itunes, amazon na kote unakuta amevuta zaodi ya mils ishirini au 30, na bado hajapiga show na bado ataendelea vuta ndo uzuri wa hizi platform
Yes ndiyo uzuri wa hizi platform, na inaendelea tu kuingiza. Bongo watu walau YT wanafuatilia, ila taratibu naona wanahamia spotify.Ukiangalia Diamond Platnumz kwa YouTube each month hakosi 20M bila kutoa nyimbo ikiwa ametoa anafika 100M.
Yeye kasema 0.003 ni tofauti na 0.3 tofauti sana tena yanAnachoeleza Nafaka ni kweli, Spotify ni 0.3 hadi 0.6 na hii imeanza last year before ilikuwa 0.2 hadi 0.4 wasanii wengi wanamlaumu Daniel Ek kwa kutotoa loyalties za kutosha.
Kuhusu mapato naona ni bora kuliko hamna imagine Diamond Platnumz 5 months bila nyimbo mpya lakini anapokea 10M na hii ni kwa kuwa Tanzania na EA sio watumiaji wa streaming platforms, endapo wangelikuwa watumiaji kama ilivyo kwa YouTube wanamuziki wengi wangelikuwa na ukwasi.
Ndiyo ni 0.003-0.006 yani hawajatofautiana na YT maana YT inalipa hivyo hivyo 😅😅Yeye kasema 0.003 ni tofauti na 0.3 tofauti sana tena yan
Nakupa mfano tu mmoja kutokana na maelezo ya diamond mwenyewe ambayo ni haya hapa.Yeye kasema 0.003 ni tofauti na 0.3 tofauti sana tena yan
Hali bado ni tete kiaje ? Unafkr harmonize anapata yeye tuu mkwanja wote , nenda kaulize makubaliano yake na jembe ni jembe ndo urudi hapa , unajua management ya harmonize inakula percent ngap Mzee ?Takwimu zimekaa vizuri.
Hapo namhurumia Alikiba tu.
Vile vile Rayvanny mnamvimbisha kichwa na yeye anajaa upepo. Mwisho wa siku atakuja kujikuta peke yake.
Kwenye mgao wa mapato ya Rayvanny kuna Diamond.
Lakini Harmonize anachuma chake kwa asilimia mia, ana freedom, mashabiki wake na kampuni yake.
Hapo kadri anavyoendelea kujijenga possibly akapanda.
Vile vile uwekezaji wake kwa wasanii wake kote atakuwa anachuma mgao kama Diamond anavyo chuma kwa wasanii wake.
Rayvanny aache u-kichwa maji hali bado ni tete.
Point yako ni nini ?Hali bado ni tete kiaje ? Unafkr harmonize anapata yeye tuu mkwanja wote , nenda kaulize makubaliano yake na jembe ni jembe ndo urudi hapa , unajua management ya harmonize inakula percent ngap Mzee ?
Japo uwekezaji mkubwa wa konde gang ni wa jembe ni jembe lakn bado ukweli upo pale pale Harmonize alitoka WCB yupo well financially na hii haiondoi ukweli hata Kwa Rayvanny yupo well financed , tuache bla bla .....
Kama vile ambavyo Harmonize alitoka WCB akawachagua akina jembe kuwa managers wake vile vile Rayvanny hayupo full under WCB Ila amewachagua akina Diamond wabaki kuwa managers wake , .....( Na hili hata H-baba aliligusia)
Kitu kizur ni kuwa Rayvanny ameanza kujijenga na label yake akiwa Hana mzigo mzito , harmonize amejijenga ndiyo ana wasanii Sawa lakini mpak sa hv ana mzigo wa kucompasate pesa ya uwekezaji mzito wa jembe ni jembe kuisimamisha konde gang.... Na ukweli ni kuwa managers wake wanakula parefu tuuu...
Harmonize na Rayvanny ni vijana wa Diamond na hii itabaki kuwa sifa ya milele !!! Haitafutika
Alikuwepo kwenye list ila hapendi show offMfalme kiba simuoni apo