Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji (78% accessibility) tena akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFM-17uNaom/?igsh=Zncxb2VrNGlnZDE3

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Umeme hauendi kwa watu bali majengo.
 
Bado mm naona Kuna mambo hayaki sawa kwenye kuhudumia wateja na hii unaweza kuwa sababu ya idadi ndogo ya watumia umeme.binafsi nataka nivute umeme lkn ili niufikishe umeme nilipo natakiwa kuwa nguzo 10 Tanesco wanasema huu ni mradi so gharama zitakuwa juu,nimebaki nawaza sijui Cha kufanya umeme nahitaji ila gharama juu,
ivi kwanini wasiweke gharama za chini au zisiwepo kabisa kwasababu mm baada ya kuweka umeme nitakuwa nikinunua luku sasa Kuna haha Gani ya magharama makubwa?
Mkuu gharama ya nguzo ikoje?
 
Data za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.

Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake View attachment 3204136
Natamani kujua je TANESCO wameunganisha umeme kwenye nyumba 5.2m au kwa wateja 5.2m? Kuna wateja mita zaidi ya 1 kwenye nyumba moja.
 
Back
Top Bottom