Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

Umeme hauendi kwa watu bali majengo.
 
Mkuu gharama ya nguzo ikoje?
 
Data za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.

Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake View attachment 3204136
Natamani kujua je TANESCO wameunganisha umeme kwenye nyumba 5.2m au kwa wateja 5.2m? Kuna wateja mita zaidi ya 1 kwenye nyumba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…