Licha ya vikwazo vya Serikali, China kuwa Taifa lenye Wakristo wengi zaidi Duniani kufikia 2030

Tafiti za vichochoroni.

Hizi dini zenu mbili haziwezi ku takeover China.

Umewahi kuishi na wachina ?
Inawezekana hayo maoni yake
Tanzania ya wakoloni(Tanganyika)
Ilikua na dini zenye waumi wengi ni
1 wanaoabudu dini za jadi(upagani)
2 waislamu
3 wakristo
Kundi la wapagani( waamini wa dini za jadi) walipo amini waligawanyika
Wengi walielekea ukristo hasa wa bara
Hivi si sita shangaa kusikia hayo ya china kundi kubwa huko ni waamini dini zao za aslli
wachache waislamu
Wachache pia wakristo
Hilo kundi kubwa ni sadaka lawi mwenye kupata na apate
ni juhudi zako tu kushawishi
 
Ujinga ni kufananisha China yenye ukubwa wa historia ya miaka 5000 na Tanganyika iliyotokana na zao la ukoloni ambayo hata miaka 500 haijafikisha.

Ukristo huko China umeingia miaka mingi sana iliyopita lakini hakuna impacts yoyote ile iliyoleta.

Wewe itakuwa hujawahi kuishi na wachina uone kati ya pesa,kazi na dini ni kitu gani kipo mbali sana na wao.

Ukristo kama ulivyo uislamu hizi dini mbili haziwezi ku takeover China kwa sababu za kitamaduni.

Kwa sababu sisi waafrika tulikuwa rahisi kutawaliwa kifikra na kitamaduni usifikiri na kwa wachina ni rahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…