Licha ya Watanzania kuwalilia Marekani waache kuwatangaza, jamaa watangaza tahadhari nyingine dhidi ya Tz

Licha ya Watanzania kuwalilia Marekani waache kuwatangaza, jamaa watangaza tahadhari nyingine dhidi ya Tz

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania, lakini mabeberu huwa wakaidi sana, wana jeuri isiyo ya kawaida, wamejibu kwa kutoa tahadhari nyingine dhidi ya Tanzania. Sema nahisi jeuri yao hii hutokana na kwamba wao ndio hutoa misaada kwenye uchumi wa Tz, hivyo wanaweza kusema chochote muda wautakao na bila ya kumuomba yeyote ruhusa wala kushauriana na yeyote.

Yaani kwa kifupi ukiwa maskini unayakubali yote, huna jeuri yoyote wala fursa ya kusem chochote.... Afrika mamayeee!! Lini tutajikomboa, ila tukiacha uzembe na kutumia raslimali zetu ipasavyo tutaacha kushikishwa ukuta kizembe hivi.

=========

1591109483764.png

The Tanzanian government has not released aggregate numbers on COVID-19 cases or deaths since April 29. Consequently, we are unable to provide specific guidance for U.S. citizens in Tanzania.

The Department of State has issued a Global Level 4 Health Advisory for COVID-19. For emergency American Citizen Services, including emergency passports, please visit our website for additional information.

Given the presumed ongoing community transmission in Dar es Salaam and other locations in Tanzania, the risk of contracting COVID-19 remains high. The Embassy has recommended that U.S. government personnel and their families reduce movement outside of their home except for essential activities and limit the number of visitors entering their home.

Healthcare facilities in Tanzania can become quickly overwhelmed in a healthcare crisis. There have been instances during the COVID-19 outbreak when hospitals in Dar es Salaam reached full capacity due to the high volume COVID-19 cases. Limited hospital capacity throughout Tanzania could result in life-threatening delays for emergency medical care.

The Government of Tanzania lifted the suspension on international flights to Tanzania and several airlines have scheduled international flights beginning June 2020.

The Embassy is aware of the following airlines accepting online reservations with regard to commercial flights:

Ethiopian Airlines – online reservations are available from Dar to Addis as of June 1. https://www.ethiopianairlines.com
Turkish Airlines – online reservations are available from Dar to Istanbul as of June 10. https://www.turkishairlines.com
Flydubai – online reservations are available from Dar to Dubai as of June 19. https://www.flydubai.com/en/book/
Emirates Airlines – online reservations are available from Dar to Dubai as of July 1. https://www.emirates.com
Qatar Airways – online reservations are available from Dar to Doha as of July 1. https://www.qatarairways.com

Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, TANZANIA
+255 22 229-4000
drsacs@state.gov
tz.usembassy.gov
 
Afadhali wametusaidia kutangaza kuwa anga letu limefunguliwa na kutoa link za mashirika ya ndege mbali mbali kwa ajili ya kukata tiketi. Kuhusu magonjwa waje watajionea watu wakichapa kazi freely bila shida.
 
Healthcare facilities in Tanzania can become quickly overwhelmed in a healthcare crisis.
Ile alert ya majuzi walisema,Health facilities are highly overwhelmed.
Naona nao wameanza kuruka ruka kama MK254 sasa.
 
Hawa watawapumulia sana shingoni, wana uchungu na hela yao wanayowapa kama misaada.
Wana uchungu na sisi baada ya kudhibiti Corona bila mikopo yao ya IMF na WB.hahaha!
 
Sijawahi kuona hili jukwaa kusemeana kwa mema hivi mna nini lakini?? Daah ila mnafurahisha mda mwingine.
 
MK254,

Wanatoa msaada kiasi gani? Uko kwao mambo madogo tu yanawashinda wanahangaika na mambo ya wengine.
 
Huyo balozi moja Kati ya jukumu lake Ni hicho alichokifanya. She is a watch dog, sipobweka mwenyenyumba atamtafuta watchdog mwingine, that's why lazima atafute Cha kuandika hata Kama hakipo.
 
Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania.

Haya tumesikia mama Balozi, na sisi tunasubiri tuone Kama Donald Trump ataruhusu Marekani kutangaza tena idadi ya maambukizi baada ya hizi protests maana nchi nzima iko mitaani with zero distancing and very little personal protection.

Hizi protests zitafanya almost population yote ya Marekani kuwa infected na hakutakua na ulazima wa kutanganza idadi ya maambukizi tena.
 
Mbona hakuna issue yoyote hapo. Umesoma lakini hiyo taarifa

Wewe jamaa utakufa kwa wivu.
Amesoma ila amejaa wivu Kama unavyosema. Huyu jamaa ni propagandist mkubwa against TZ
 
Hawa watawapumulia sana shingoni, wana uchungu na hela yao wanayowapa kama misaada.
Wana uchungu na hela wanaotupa kiaje, inauhusiano gani na hiyo alert
 
Back
Top Bottom