Sema nahisi jeuri yao hii hutokana na kwamba wao ndio hutoa misaada kwenye uchumi wa Tz, hivyo wanaweza kusema chochote muda wautakao na bila ya kumuomba yeyote ruhusa wala kushauriana na yeyote. [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji40][emoji40][emoji40]