Licha ya Yanga kutoka Sare na Prisons lakini bado Simba wana mechi ngumu kuliko Yanga

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
 
Esabu unazijua ww ukiletewa au mboyoyo tuuuu
 
Ona hii ng’ombe

775F81E9-5531-4E74-8945-8BAD06E1021D.jpeg
 
Yanga amebakiza kucheza na timu gan?

Timu ngumu karibu zote ameshacheza nazo, sasa sijajua ni timu zipi hasa kabakiza kucheza nazo.
 
Mechi za Simba

Kagera Sugar-Home
Azam-Away
Geita Gold-Away
Mbeya Kwanza-Away
Prisons-Away
Mbeya city-Home
Mtibwa sugar-Home

Yanga
Dodoma jiji-Away
Mbeya kwanza-Home
Biashara-Away
Coastal union-Home
Polisi Tanzania-Home
Mbeya city-Away
Mtibwa sugar-Home
 
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
Simba inaenda Geita kufanya nini kuna kiwanja kule cha kuwachezesha au huijui home ground ya Geita inaitwa Nyankumbu Girls secondary school?
 
Mechi za Simba

Kagera Sugar-Home
Azam-Away
Geita Gold-Away
Mbeya Kwanza-Away
Prisons-Away
Mbeya city-Home
Mtibwa sugar-Home

Yanga
Dodoma jiji-Away
Mbeya kwanza-Home
Biashara-Away
Coastal union-Home
Polisi Tanzania-Home
Mbeya city-Away
Mtibwa sugar-Home
We mzee hizi takwimu umetoa wapi? Ina maana Simba wana mechi sawa na Yanga? Msijifariji sana kwa kupunguza idadi ya mechi za Simba
 
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
Wazungumzie Yanga kwanza
 
Simba inaenda Geita kufanya nini kuna kiwanja kule cha kuwachezesha au huijui home ground ya Geita inaitwa Nyankumbu Girls secondary school?
Kwani Nyankumbu haiko Geita? Msicomment tu ilimradi. Geita ni mkoa kwa hiyo ikitajwa tu Geita haimaanishi inatajwa halmashauri ya Geita, hata kama unaenda chato ukisema unaenda Geita sio kosa.
 
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
Hesabu ziko upande wa MNYAMA[emoji881]..SIMBA hizo mechi unazoita ngumu atabutua karibia asilimia 95 na yanga itabaki kulia ushirikina
 
Back
Top Bottom