Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.
Hesabu ziko upande wa Yanga
Hesabu ziko upande wa Yanga