Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Esabu unazijua ww ukiletewa au mboyoyo tuuuuYanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.
Hesabu ziko upande wa Yanga
unajieleza sanaKuimba kupokezana......ni swala la muda tu-Simba ana Game na Kagera anafuata Azam and then wanaenda kwa Geita Gold baada ya hapo Mabingwa Mara nyingi zaidi tutakuwa tumeshatangaza ubingwa wetu
Zile sare zenu mmeshaanza kuzishona huku Simba akiwa amerudi kwenye ligi.Kuimba kupokezana......ni swala la muda tu-Simba ana Game na Kagera anafuata Azam and then wanaenda kwa Geita Gold baada ya hapo Mabingwa Mara nyingi zaidi tutakuwa tumeshatangaza ubingwa wetu
Atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.Yanga amebakiza kucheza na timu gan?
Timu ngumu karibu zote ameshacheza nazo, sasa sijajua ni timu zipi hasa kabakiza kucheza nazo.
Kumbe jf imejaza wajinga hivi😀, Sasa hili lidude "Esabu" ndio nin?Esabu unazijua ww ukiletewa au mboyoyo tuuuu
Simba inaenda Geita kufanya nini kuna kiwanja kule cha kuwachezesha au huijui home ground ya Geita inaitwa Nyankumbu Girls secondary school?Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.
Hesabu ziko upande wa Yanga
We mzee hizi takwimu umetoa wapi? Ina maana Simba wana mechi sawa na Yanga? Msijifariji sana kwa kupunguza idadi ya mechi za SimbaMechi za Simba
Kagera Sugar-Home
Azam-Away
Geita Gold-Away
Mbeya Kwanza-Away
Prisons-Away
Mbeya city-Home
Mtibwa sugar-Home
Yanga
Dodoma jiji-Away
Mbeya kwanza-Home
Biashara-Away
Coastal union-Home
Polisi Tanzania-Home
Mbeya city-Away
Mtibwa sugar-Home
Wazungumzie Yanga kwanzaYanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.
Hesabu ziko upande wa Yanga
Nyie wachawi hadi caf mnajulikanaSawa ....Nyie Kazeni buti msifungwe ...Lkn hii Mi sare sare Maua itawaghalimu.
Kwani Nyankumbu haiko Geita? Msicomment tu ilimradi. Geita ni mkoa kwa hiyo ikitajwa tu Geita haimaanishi inatajwa halmashauri ya Geita, hata kama unaenda chato ukisema unaenda Geita sio kosa.Simba inaenda Geita kufanya nini kuna kiwanja kule cha kuwachezesha au huijui home ground ya Geita inaitwa Nyankumbu Girls secondary school?
Hesabu ziko upande wa MNYAMA[emoji881]..SIMBA hizo mechi unazoita ngumu atabutua karibia asilimia 95 na yanga itabaki kulia ushirikinaYanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.
Hesabu ziko upande wa Yanga