Licha ya Yanga kutoka Sare na Prisons lakini bado Simba wana mechi ngumu kuliko Yanga

Licha ya Yanga kutoka Sare na Prisons lakini bado Simba wana mechi ngumu kuliko Yanga

Kila mtu ashinde zake, hizo ngumu ndio tunaahinda nyepesi ndio zinatusumbua
 
FB_IMG_1652149792931.jpg
 
Kuimba kupokezana......ni swala la muda tu-Simba ana Game na Kagera anafuata Azam and then wanaenda kwa Geita Gold baada ya hapo Mabingwa Mara nyingi zaidi tutakuwa tumeshatangaza ubingwa wetu
Mpira haupo hivo ndugu ,unataka kuniambia hizo timu ni ngumu kuzid Orlando na berkane?

Shida ya Simba ni kudharau game kadhaa kwenye lig na huo ndio ugonjwa wao ,lakin Simba wakiamua kukaza kweli kweli na kocha akawa serious sion timu ya kumsumbua Simba hapo.

Sikatai huu msimu yanga ni bingwa ,lakin atakua bingwa kwa utofaut wa points chache Sana pia atachelewa kutangazwa bingwa ,hiki kipute kinaenda mpaka dakika ya mwisho sio kirahis rahis namna hiyo.

Pia elewa kwasasa mwenye pressure ni yanga huku Simba Hana pressure anacheza kikawaida tu kazi mnayo nyie kwenye hizi mech zilizobaki.
 
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
Acheni kuchungulia jirani akiwa anaoga.

Shindeni mechi zenu.
 
Mpira haupo hivo ndugu ,unataka kuniambia hizo timu ni ngumu kuzid Orlando na berkane?
Shida ya Simba ni kudharau game kadhaa kwenye lig na huo ndio ugonjwa wao ,lakin Simba wakiamua kukaza kweli kweli na kocha akawa serious sion timu ya kumsumbua Simba hapo.

Sikatai huu msimu yanga ni bingwa ,lakin atakua bingwa kwa utofaut wa points chache Sana pia atachelewa kutangazwa bingwa ,hiki kipute kinaenda mpaka dakika ya mwisho sio kirahis rahis namna hiyo.

Pia elewa kwasasa mwenye pressure ni yanga huku Simba Hana pressure anacheza kikawaida tu kazi mnayo nyie kwenye hizi mech zilizobaki.
Halafu kwenye mpira hakuna dharau ndugu yangu,hilo tambua kabisa

Hugo Berkane na Orlando uliowapiga Leo hii wapo nusu faunal na we timu yako iko wapi?

Popote pale ambapo ligi ina ushindani huwa hakuna ubingwa mwepesi hata Siku moja kaka

Angalia Ligi ya uingereza kuna muda Man city alikuwa juu ya msimamo kwa tofauti ya point ya 10 takribani ila unfortunately zilipungua na ikabaki moja tu......na sasa tofauti ya point zipo tatu......timu zote zikiwa imara huwa hakuna ubingwa Wa dezo kama kipindi cha nyuma

Angalia Italia jinsi timu za juu zinavyoenda ng'adu kwa ng'adu....,..Hiki sio kipindi ambacho timu moja ni dhaifu na nyingine ni bora zaidi,hapana mkuu.....now kila timu IPO imara zaidi
 
Yanga wana nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa hiyo ipo wazi kabisa na kila mtu anajua hivyo. Tatizo ninaliona kwa Yanga kwa sasa wamepoteza kujiamini kabisa hasa wakikukumbuka kilichowatokea misimu miwili iliyopita walikuwa wanaongoza ligi halafu ghafla tu wakapoteza ubingwa kwa Simba. Lile zimwi la kupoteza ubingwa kwa Simba mwishoni mwa ligi kwa misimu miwili ndio limeanza kuwatafuna tena. Lakini tofauti na misimu mwili iliyopita mwaka huu wapo vizuri zaidi uwanjani na kikosi chao ni wachezaji waliokomaa zaidi kiakili na uzoefu wa kutosha kulinganisha na misimu miwili iliyopita.

Nini wafanye? Kwa haraka sana viongozi wa Yanga wawatafutie wataalamu wa saikolojia ili kuwaweka sawa wachezaji ili wasiendelee kutoka kwenye mbio za ubingwa. Vile vile ikiwezekana wawatafuate wachezaji wa zamani wa Yanga waliofanya vizuri miaka ya nyuma wawaalike kambini ili waende wakainue morali ya wachezaji.

Ni mtizamo tu.
 
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na wana gemu na Kagera, Wanatakiwa waende Geita, waende Ruvuma kwa Mbeya Kwanza na baadae Prisons kule Mbeya, sijawaongelea Mtibwa hapo, wachezaji wa Simba waliopo ss hv sioni nafasi ya kushinda gemu zote hizo huku Dar Yanga wakipoteza.

Hesabu ziko upande wa Yanga
eti simba haina wachezaji.........

We Ni mbwa joke.
 
Wanataka ubingwa wapate na mayele aimbwe.
Lazima wakubali kupoteza kimoja.Wakileta usanii kwenye soka watalia kama mbwa,U-to- polooo wakubwa nyie! mixeiue!
 
Mashabiki Wa Simba Bhn Kama Vile Watashinda Mechi Zote Wakati Kuna Game Zinaonekana Wazi Wanaenda Kutiwa Vinginevyo Itaisha Sare Kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wananchiii…kama kuna shabiki wa Yanga anataka kujisajili aje PM. Kuna njia rahisi ya kujaza fomu online.
 
majukumu ya Simba kimataifa amemaliza vizuri kwa kupeleka timu nne CAF,sasa anashughulika na majukumu ya ndani,kaeni kwenye mstari muhesabiwe magoli kama alivyohesabiwa Ruvu shooting.
 
Mechi za Simba

Kagera Sugar-Home
Azam-Away
Geita Gold-Away
Mbeya Kwanza-Away
Prisons-Away
Mbeya city-Home
Mtibwa sugar-Home

Yanga
Dodoma jiji-Away
Mbeya kwanza-Home
Biashara-Away
Coastal union-Home
Polisi Tanzania-Home
Mbeya city-Away
Mtibwa sugar-Home
Mashabik wa utopolo yaan ile saree tu mnapoteana iviii.

Simba ana game 8

Yanga game 7
 
Mashabik wa utopolo yaan ile saree tu mnapoteana iviii.

Simba ana game 8

Yanga game 7
Na KMC pia kwahyo ubingwa wako ni lazima ushinde mechi zote 8 bila sare hata 1,Ila mm ubingwa wangu kati ya hizo mechi 7 inabidi nishinde mechi 4 tu
 
Back
Top Bottom