Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
Baada ya kujamiiana, wanaume huwa wanataka kulala, wakati wanawake mara nyingi wanataka kuongea.
Wanaume huonyesha hisia zao kali kwa kufanya mapenzi.
Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wanaweza kusikiliza marafiki zao wa kiume kwa saa nyingi, lakini kwa takriban dakika sita inapokuja kwa rafiki wa kike au mke wake.
Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye nywele ndefu na nene.
Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume wanaonekana kuvutia zaidi kwenye mashati kuliko kwenye fulana.
Wanaume huwa hawapendi kuomba msaada na hujaribu kufanya mambo wao wenyewe hadi wasipoweza tena.
Wanaume hawapendi kufananishwa na wengine hasa pale wanawake wanapowalinganisha na wanaume wengine.
Wanaume wana nguvu za kimwili, lakini huwa na hisia zaidi kuliko wanawake.