Lielewe hili baada ya tendo

Lielewe hili baada ya tendo

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Baada ya kujamiiana, wanaume huwa wanataka kulala, wakati wanawake mara nyingi wanataka kuongea.

Wanaume huonyesha hisia zao kali kwa kufanya mapenzi.

Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wanaweza kusikiliza marafiki zao wa kiume kwa saa nyingi, lakini kwa takriban dakika sita inapokuja kwa rafiki wa kike au mke wake.

Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye nywele ndefu na nene.

Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume wanaonekana kuvutia zaidi kwenye mashati kuliko kwenye fulana.

Wanaume huwa hawapendi kuomba msaada na hujaribu kufanya mambo wao wenyewe hadi wasipoweza tena.

Wanaume hawapendi kufananishwa na wengine hasa pale wanawake wanapowalinganisha na wanaume wengine.

Wanaume wana nguvu za kimwili, lakini huwa na hisia zaidi kuliko wanawake.
 
Mwanaume jitahidi ukojoe ndani na usichomoe haraka baada ya kufika kishindoo ..... kaa ka dakika 5 - 10 ukiwa umemkumbatia mwenzio na kumsifia kuwa kwa siku hiyo ametenda vizuri na hana baya
 
Yaani apumzike 5-10 mins, kuna wengine zege hua hailali 😆!
 
Mwanamke kwa asili huongea maneno mengi kuliko mwanaume.Mwaume akiongea maneno matatu (3) mwanamke atakuwa ameshaongea maneno kumi na tano (15) i.e. wanawake wengi ni vocal, talkative and argumentative.
 
Mwanaume jitahidi ukojoe ndani na usichomoe haraka baada ya kufika kishindoo ..... kaa ka dakika 5 - 10 ukiwa umemkumbatia mwenzio na kumsifia kuwa kwa siku hiyo ametenda vizuri na hana baya
Inategemea na style ya mwishoni.

Kama ilikua Chuma kachumbari je ? Any way sijui nataka kusema nn ila uko na hoja usikilizwe tu
 
Back
Top Bottom