Lifahamu kombola la oreshnik, linatoka kwenye space likirudi linarudi na kasi ya March 27

Lifahamu kombola la oreshnik, linatoka kwenye space likirudi linarudi na kasi ya March 27

Aisee mrusi ni habari nyingne

Hili kombola likiwa ndo linafyatuliwa linatoka na kasi ya 6000km/hr na hapo ndo linapooneka tu

Baada ya hapo alionekani tena kwenye rada wala wapi linatoka kwenye space likirud kwenye atmosphere linakuja na kasi ya Mach 27

Hakuna mfumo wa ulinzi wowote unaweza kuzuia hata rada tu hailioni, inastukia tu kitu kimetua

Inaweza beba nuclear warheads 6 na convectional 6 na inapiga target tofauti tofauti

Jana lilipigwa Ukraine mtikisiko wa ardhi ulisikika hadi uturuki leo NATO wamekaa kikao

Na jana lilikua tupu bila convectional wala nuclear warheads ni kinetics energy tu

MCHAMBUZ KUTOKEA CHALINZE, CHIMBA UNYE

Tuliyosoma Cuba tumekuelewa
 
Kufikia sasa, hakuna ballistic missile defense system (BMD) iliyothibitishwa kwa ufanisi wa juu kuzuia kombora lenye kasi ya Mach 10+ kama vile Russia’s Avangard, Zircon, au Kinzhal kwa uhakika wa 100%. Hata hivyo, kuna teknolojia za kisasa zinazojaribu kukabiliana na tishio hilo:

1. U.S. Systems
  • GMD (Ground-Based Midcourse Defense): Imeundwa kuzuia ICBMs lakini sio iliyothibitishwa dhidi ya hypersonic maneuverable threats.
  • Aegis + SM-3/SM-6: Ina uwezo dhidi ya ballistic missiles za kasi ya Mach 3–5. SM-6 inafanyiwa maboresho dhidi ya hypersonics.
  • Glide Phase Interceptor (GPI): Inatengenezwa mahsusi kukamata hypersonic glide vehicles (HGVs) kama Avangard, lakini bado iko kwenye maendeleo.

2. Israel
- Arrow-3 & Arrow-4: Ina uwezo wa juu kuzuia ballistic threats, lakini haina track record dhidi ya hypersonics za Mach 10+.

3. Russia & China
- Wenyewe wanasisitiza offense (kama Avangard na DF-ZF), lakini pia wanajenga S-500 Prometey, inayodaiwa kuwa na uwezo wa kukamata hypersonic missiles. Hata hivyo, ushahidi wa vitendo bado ni mdogo.

Hitimisho:
 
Oreshnik ni kombora la masafa ya kati (IRBM) lenye kasi ya juu sana (inazidi Mach 10), linalotengenezwa na Russia. Huu hapa ni muhtasari wa uwezo wake kwa Kiswahili:

  • Umbali wa kulenga: Zaidi ya kilomita 3,000 hadi 5,500 (masafa ya kati).
  • Kasi: Linatembea kwa kasi ya hypersonic — zaidi ya mara 10 ya kasi ya sauti (Mach 10+), hivyo ni vigumu sana kulizuilia.
  • Uwezo wa kushinda ulinzi: Linaweza kuepuka mifumo ya kisasa ya kuzuia makombora kutokana na mwendo wake wa kasi, mabadiliko ya njia ghafla, na uwezekano wa kubeba vichwa vya vita vingi (MIRVs).
  • Uharibifu: Linabeba vichwa vya vilipuzi (conventional au nuclear) vyenye uwezo wa kuharibu maeneo makubwa au vitu vya thamani kubwa.

Kwa kifupi, ni kombora lenye teknolojia ya hali ya juu, linaloleta changamoto kubwa kwa mifumo ya ulinzi ya makombora ya sasa, hasa kwenye mashambulizi ya ghafla dhidi ya maeneo ya mbali.
 
Hilo kombora haliwezi kuwakomboa warussia milioni 50 ambao bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini.

Ni upungufu wa akili kutumia mabilioni ya pesa kutungeneza makombora ambayo hayana faida yoyote kwa raia, hilo linafanyika tu kwa sababu dikteta Putin hana ridhaa ya wananchi wa Russia na anatawala sawa kabisa na madikteta wa kiafrika wanaojipa ushindi wa kishindo hewa pasipo hata na uchaguzi kufanyika. Bure kabisa.
 
Inashuka na mach 27 ndo maana wamesema inazid mach 10

Mwisho hakuna missiles interceptor ya yenye speed ya mach 10
Ni kumu kuwa intercepted sababu haifuati ballistic path iliyozoeleka, hua ina maneuver mid flight. Air diffence hua zinafanya kazi affectivly kama missile inafollow same path, na ikiwa na speed ya kawaida(sub sonic kushuka chini). Sawa oreshnik ni pasua kichwa kwa NATO maana bala zima la ulaya wana hali mbaya maana wapo within range yake ndo maana ni gumzo. Ninachopinga ni hiyo mach 27. Hapo umeniibia kiingilio.
 
Speed inaipata ikitoka Kwenye Space na kurud Kwenye atmosphere
Naelewa mkuu,

kuna kitu kinaitwa Ballistic trajectory.. Ukijua namna ya calculation zake utakubaliana na mimi kwamba kwa speed, size, distance na weight ilonayo oreshnik, kamwe haiwezi kufika mach 27.

Ingia hata google basi mkuu.. Unakataa vitu ambavyo viko wazi.. Angalia makombora 5 yenyespidi duniani, oreshnik huto iona. Hata top ten hutoiona oreshnik missile.

Hilo kombora uchawi wake ni kukata kona angani tu, na linafanya lenyewe automatic likikwepa Air deffenc systms. Ndo maana wanaliogopa, lakini sio hiyo spidi ya mach 27 NINAKATAAA
 
Hapa chini ni makombora matano ya kisasa yenye kasi kubwa zaidi duniani (Mach speed), kuanzia haraka zaidi:

1. Avangard (Russia)
- Kasi: Hadi Mach 27
- Aina: Hypersonic Glide Vehicle (HGV)
- Maelezo: Linaweza kubadilisha mwelekeo hewani, vigumu kulizuia.

2. DF-ZF (China)
- Kasi: Mach 5–10
- Aina: Hypersonic Glide Vehicle
- Maelezo: Linapita kwenye IRBM au ICBM kabla ya kuingia kwenye glide phase.

3. RS-28 Sarmat “Satan II” (Russia)
- Kasi: Mach 20+
- Aina: ICBM
- Maelezo: Ni kombora la masafa marefu lenye uwezo wa kubeba vichwa vingi vya nyuklia (MIRVs).

4. Ostankino / Oreshnik (Russia) (unayoitaja)
- Kasi: Inakadiriwa Mach 10+
- Aina: IRBM yenye uwezo wa hypersonic maneuvering
- Maelezo: Inaingia kwenye atmosphere kwa kasi sana, ngumu kulenga.

5. Trident II D5 (USA)
- Kasi: Mach 24 (katika trajectory ya ballistic)
- Aina: Submarine-Launched Ballistic Missile (SLBM)
- Maelezo: Inatumiwa na Jeshi la Majini la Marekani na Uingereza.

Kumbuka: Kasi ya kombora inategemea hatua ya safari yake—boost, space, na re-entry. Kasi ya juu zaidi mara nyingi hufikiwa kwenye re-entry, ikisaidiwa na gravity.
 
Japo sina uhakika na chanzo chako cha hii taarifa na sijakubaliana nayo kwa uwepo wa oreshnik kwa namba tatu hapo, nimependa kwamba sasa tunakubaliana kua oreshnik ina mach 10 na sio mach 27. Clear???
 
Back
Top Bottom