Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No no noHizo sio zile mbegu za kuflash tumbo kweli?
Ni kweli kwakuwa zinastawi sehemu za baridi na asili yake ni ujerumaniSie tulkua tunaita vinazi umenkumbusha tengeruuu(taasisi flan Iv ya kilimo tulkua tnaenda kuiba kwenye shamba lao
Ili tunda lilkua maaruf sana kwa watt wa tengeru primary
Ok mkuu .....jina hili "kadamia" ni kiswahili au?Ni kama tunda nyama yake ya ndani kama nazi![]()
Ganda la nje gumu ukilipasua kiini chake ndio kinaliwaZinaliwa au
hahaha sisi kwetu tunaita mkaranga,hao ni karanga tukuwa tunacheza utotoni,na tunaenda kununua kwa watu ambao wna miti kam si kwenda kuiba au kuokota mvua zikinyesha.ni tamu san kuzila aseee
Mchina kafanya yakekwel ase watu wamekata san iyo miti nowadays hakuna kabisa na watot hawachezeiii
Nzuri sana hii kitu. Ni zaidi ya mbadala wa koroshoNi kama tunda nyama yake ya ndani kama nazi![]()
Arusha, ila sijaviona siku nyingi sanaMikoa gani hasa ndio maarufu mmea huu?
Sehemu za miinuko kwenye baridiMikoa gani hasa ndio maarufu mmea huu?
Hebu nisaidie hapo, hizi ni macadamia nuts auSehemu za miinuko kwenye baridi