Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Sie tulkua tunaita vinazi umenkumbusha tengeruuu(taasisi flan Iv ya kilimo tulkua tnaenda kuiba kwenye shamba lao
Ili tunda lilkua maaruf sana kwa watt wa tengeru primary
Ni kweli kwakuwa zinastawi sehemu za baridi na asili yake ni ujerumani
 
hahaha sisi kwetu tunaita mkaranga,hao ni karanga tukuwa tunacheza utotoni,na tunaenda kununua kwa watu ambao wna miti kam si kwenda kuiba au kuokota mvua zikinyesha.ni tamu san kuzila aseee
 
kwel ase watu wamekata san iyo miti nowadays hakuna kabisa na watot hawachezeiii
 
Tulikua tunaita 'karanga mti' maana zinakua na mti na ladha ya karanga/nazi... Mti wake unakua una miba hivi hivyo ni malazi mazuri ya ndege wadogo, wakati naishi Mbinga ulikuepo katika eneo la nyumba yetu. Ila leo ndo najua waitwa 'kadamia'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…