Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Ikitokea mwanao wa kike akapata mimba akiwa anasoma utasapoti aliyempa mimba afungwe?

Kuna namna unahisi tunaweza kumlinda mtoto wa kike na hizi mimba za utotoni? Sheria ya kumfunga aliyempa mimba unaona iko sawa?
Sitasaport afungwe kwa sababu Kuna kiumbe kusicho na hatia kitakachokuja kuathirika maisha yake yote
Kuhusu kumlinda binti yangu nitamlinda sana kwanza kwa kumpatia mazingira salama pia kumuandaa kiakili ili kujiepusha na mimba za utotoni
Kuhusu sheria ya mimba .kwa kweli haiko friendly kabisa sijui hata aliiweka Nani
 
Kumfunga mtoto wa kiume aliyemdunga binti mimba ni kumnyima haki ya baba mtoto atakayezaliwa...
loss of fatherly love and affection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…