Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Kabisa!labda kwa wembamba! Mnene ht kuvaa dera bila kyupi mie naonaga kero sana!tunajiashua tu..!ila ni kerooo!
Shukrani nimeelewa sasa maana nilikuwa najiuliza sana why mvae chupi wakati hamko mwezini? maana isi huwa tunavaa ili kumdhibiti Adbdala jicho moja pale atakpotahamalki ghafla kny public 🤣
 
Likizo time
Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani
Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc
Dawa za meno
Sex
Watoto
Mambo ya sokoni
Kila kitu
Uliza chochote au shauri chochote .
Dawa ya choon inayong'arisha ni ipi sink liwe jeupeee
 
Dawa ya choon inayong'arisha ni ipi sink liwe jeupeee
Chukua lit,au careline plus hao hapo chini
IMG_20191126_140149_5.jpeg
IMG_20191126_140206_3.jpeg
 
Back
Top Bottom