Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Ukitaka Nile nimenuna pika kunde, kipindi nakuwa nilikuwa siwezi kula njugumawe ila sahii nazibutua hatari hatari
Kuna wajinga fulani hivi walikuwa wanatupikia hizo njugu stone na wali; yaani nilikuwa nakula ili nisife tu. Ila ukizipata zenyewe ni[emoji1362]
 
Papuchi mnaoshaga na sabun gan
Likizo time
Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani
Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc
Dawa za meno
Sex
Watoto
Mambo ya sokoni
Kila kitu
Uliza chochote au shauri chochote .
 
Back
Top Bottom