CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
ntakunong'onezaAcha hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntakunong'onezaAcha hizo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini??duh..mbona naogopa!
Aah ni wewe sasa na kucha zako....nini kina banduka, kucha or hennaZangu zinaharibika, zinabanduka banduka.
Sio matatizo 😂😂Una raha😅!
Hapana..raha!unakuwa.free kuvaa nguo yyt ile!Sio matatizo 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]
We tangu lini hizo kazi za ndani zikawa tamu?
Ahahha nimesikia bwana!nadhan kampeni!na waluguru wanavyoipenda ccm[emoji28]!
Kucha, nikitumia henna ya tube.Aah ni wewe sasa na kucha zako....nini kina banduka, kucha or henna
Sasa mimi sizipendi na sipendi kufanyiwa. Hivyo napambana tu na hali yangu.Hahaha mm kaz za nyumban nPenda sana kufanya mwenyewe..sipend kaz za shambani.lakin km ni maua ah nape da.kulima lima..kujimwagia mwagia maji[emoji28]..usk unalala fresh sana
Kuna wajinga fulani hivi walikuwa wanatupikia hizo njugu stone na wali; yaani nilikuwa nakula ili nisife tu. Ila ukizipata zenyewe ni[emoji1362]Ukitaka Nile nimenuna pika kunde, kipindi nakuwa nilikuwa siwezi kula njugumawe ila sahii nazibutua hatari hatari
Sijawahi kuona umuhimu wa chupi kwa mwanamkeHakii nishasahau kufua.mashine au deiwaka.nimekuwa mvivuu.hata chupi sivai. Ili nisifue
Likizo time
Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani
Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc
Dawa za meno
Sex
Watoto
Mambo ya sokoni
Kila kitu
Uliza chochote au shauri chochote .
Hebu nipe kimo chako ili nikushauri kama hiyo kampeni itakufaa ama la!Nafight mpaka January ziwe 60+
kwani bado upo kwa wazazi,?Me vyombo labda nioshe glass tu.ila ukiwa dada mkubwa nyumbani Kuna kazi hufanyi tena.siku hizi nasafisha chumba changu tu.
hadi ukapunguza kg hzo juhudi ulielekeza kwenye mazoezi au diet?Najitahidi mkuu
Umri wangu, kimo, na kilo zangu n sawa me naona hivyo.....sasa me hapa nakupaje kimo?Hebu nipe kimo chako ili nikushauri kama hiyo kampeni itakufaa ama la!
Ndio nasikia hii kitu...au unapataga mchina aliyekwisha expireKucha, nikitumia henna ya tube.
MbooroPapuchi mnaoshaga na sabun gan
Ndio hawataki nihamekwani bado upo kwa wazazi,?
sawa nimegundua wewe ni futi 5. na umri wako utakuwa kati ya 19 yrs na 25 yrsUmri wangu, kimo, na kilo zangu n sawa me naona hivyo.....sasa me hapa nakupaje kimo?