Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Sasa ni wakati wa majumuisho
kila la kheri...ila MwanajamiiOne amegusia kitu fulani cha maana sana hapo kwenye mixed feelings.
Kwenye msiba watu wanakuja kukupa pole,...
kwenye kuachana ni kinyume....hata ukipewa pole unaona haitoshi,...ni mchanganyiko wa aibu,
hasira, aibu, wivu, aibu, chuki, aibu, kisasi, aibu, huruma, (umeona aibu inavyo play part?)---in short ni Depression!
na usipokuwa makini, Suicidal thoughts zitakutawala kwa kiwango kikubwa kwa kuondokewa na thamani.
BelindaJacob, letting him go is the highest form of affection Big UP!...ni wachache waliojaaliwa mapenzi ya namna hiyo,
Kwa jinsi ulivyokuwa unampenda, unakubaliana na hali na kumuachia aende...
Wakatabahu,
Mbu ibn Moskwito.