Life after Death: What happens after death?

Nakusoma. Bahati mbaya. Huyo profesa Lanza Alipo conclude, Maelezo yake kwa kina bado yapo kWenye kitabu chake cha biocentrism.
Hapo ameeleza critisize zAidi theories za wenzake.
Jambo jingine kwenye hii mijadala most of people tunaowaita atheists hua wana fall kwenye category ya agnostic.
AGnostic wana amini ni vigumu kuthibitisha kua mungu yupo wakati atheists wanaamini hakuna Mungu.
 
Has anyone read from one of still living scientists Mr. Stephen Hawking's views on afterlife? You can google and read about him. Here is an extract:

Hawking has stated that he is "not religious in the normal sense" and he believes that "the universe is governed by the laws of science. The laws may have been decreed by God, but God does not intervene to break the laws".[283] In an interview published in The Guardian, Hawking regarded the concept of Heaven as a myth, believing that there is "no heaven or afterlife" and that such a notion was a "fairy story for people afraid of the dark".[204] In 2011, when narrating the first episode of the American television series Curiosity on the Discovery Channel, Hawking declared:
"We are each free to believe what we want and it is my view that the simplest explanation is there is no God. No one created the universe and no one directs our fate. This leads me to a profound realization. There is probably no heaven, and no afterlife either. We have this one life to appreciate the grand design of the universe, and for that, I am extremely grateful."[284][285]
In September 2014 he joined Starmus Festival as keynote speaker and declared himself an atheist.[286]
 

Hawkings views zimetokana zaidi na his pathetic life. Is like aliyekata tamaa after what he has gone through. Kupitia kukata tamaa na baadae akaja ku-develop ways ili kua na furaha.

Hoja kua hakuna mbinguni nk.. Bado
currently Ziko theories nyingi zinazo refute hoja zake. For instance kuhusu Near Death experience (NDE)

Anyway... atheisim nayo ni imani pia kama theism.

science ina limitation. and science is still evolving. So any principle laws of science today can be nullified in the Near future.
Kitu ambacho nakiona ni kua science ndio njia pekee ya uhakika ya mwanadamu ku thrive best katika ulimwengu. Ni ya uhakika kwakua Can be proved scientificaly, Wakati religions ziko more solely na Nguvu ya imani ya mtu na mtu.
 
Tunapokufa Tunakwenda Wapi?
Swali hili linajibiwa na biblia kama ifuatavyo.
Pumzi ya uhai inapotengana na mwili kifo hutokea.
Pumzi humrudia Mungu aliyeitoa na mwili huyarudia mavumbi ulikotwaliwa Mwanzo 2:7.
Kumekuwa na mafundisho kwamba tunapokufa tunakwenda mbinguni! Nataka nikuhakikishie kwamba hakuna kitabu chochote kitakatifu kinachosema kuwa Mbinguni kuna chumba spesheli cha kutunzia maiti. Yesu atakapokuja atawafufua wafu, kama tayari wako mbinguni kwa nn awafufue!?
Katika jamii ya leo tumekuwa tukiangaika sana na maiti, je tunayofanya maiti huyajua?
Mhubiri 9:5 kwa sababu walio hai wanajua kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lolote, wala hawana ijara tena, maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
soma pia Zaburi 6:5
1Wathesalonike 4:16-17 inasema...... Kwasababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika kristo watafufuliwa kwanza.
Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu; ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
Hii inaonesha dhahiri kwamba mtu akifa haendi mbinguni bali analala usingizi wa mauti akingoja Ufufuo siku Yesu atakaporudi.

Mungu awabariki.
 
Ikiwa tutaenda mbinguni mbona Mungu alipomuumba Mzazi wetu wa kwanza Adam na Hawa hawakuishi mbiguni? Na ikiwa tunamatumaini ya kuishi mbinguni kwanini tuonauomba ufalme wa mungu uje duniani?

Kwa kuongozea tu kwa swali hili, ikiwa mtu akifa huenda mbinguni kuna haja gani ya ujio wa pili wa Yesu Kristo? tazama Yohana 5: 28-29 "Msistaajabiae maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka;wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu".

Kwa wanaomwamini Yesu huo ndio msimamo aliotuachia ya kuwa mtu akifa husubiri siku ya mwisho ambapo Bwana Yesu atawafufua wote, wema kwa ufufuo wa uzima na waovu kwa ufufuo wa hukumu, kisha kutakuwa na dunia mpya na mbingu mpya ambapo watu wote wema watishi milele pasipo dhambi, wakati huo waovu wote wameangamizwa pamoja na Shetani aliye chanzo cha uovu.

Msidanganyike na uongo wa shetani aliousema tangu mwanzo alipomjaribu Adam na Hawa kwa kuwaambia "hamtakufa hakika" wakati Mungu aliwaambia wakila mti uliokatazwa watakufa hakika (Mwanzo 3: 1-4).
 
Binadamu bwana! Hawaishiwi visa! Kuna mtu alijiita mungu hapo Kenya ..Yuko wapi?
 

Usiseme ww msema kweli, wewe ni finyu wa akili....hakuna namna utayatunza au kuyalinda maisha yako usife, tumain haliko kwako ndio maana wajipa Moyo na maneno ya matupu....hatuuoni upepo ila upo, hatuioni hewa Ila ipo...hiyo ni mifano michache ya vitu ambavyo vipo lakin havionekani....maisha Baada ya kifo yapo usijipe Moyo na kujitumainisha hayako, Kama unavyoweza kuuhisi na kuusikia mvumo wa upepo, baridi, hewa joto n.k Wakat havionekani...vivyohivyo kutoka ndan ya vilindi vya moyo wako waweza kuliona Giza au nuru iliyoujaza moyo wako, huwez kijidanganya mweye wajijua ulivyo ndan Yako.

Hivyo hivyo, unaweza ukauexpirience uwepo wa Mungu na Nguvu zake ndani yako hasa katika maombi ya kuzama na Ile shauku na bubujiko la ndani la kumhitaj Mungu ambalo twalipata kwa toba ya kweli katika Kristo na Kwanjia ya Kristo pekeee....the expirience and an encounter with God is personal...seek and you will find Him...
 
Hapo ndipo napo kubali uislam ni dini ya kweli mnapata taabu sana kujua mtu baada ya kufa anakwenda wap watu hawajui mtu akifa baada ya kufa kuna kufufuliwa na baada ya kifufuliwa kunakiyama baada ya kiyama kuna hesabu baada ya hesabu kuna pepo na moto
 
mpaka saa hii sina idea kwamba naenda wapi....but nikishakufa ndio nitajua....kwa sasa ni mapema mno kwa mimi kufahamu hilo
ukiokoka na ukamfuate Yesu Kristo utaenda mbinguni lakini usipo okoka na kumfuta Yesu basi utakwenda jehanamu na hakuna kubadilisha tena mawazo wala kuludi kwa Yesu tena maana utakuwa usha chelewa!
 
ukiokoka na ukamfuate Yesu Kristo utaenda mbinguni lakini usipo okoka na kumfuta Yesu basi utakwenda jehanamu na hakuna kubadilisha tena mawazo wala kuludi kwa Yesu tena maana utakuwa usha chelewa!

Wewe umejuaje haya yote.......na unipe uthibitisho.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…