Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Mambo yahusuyo ulimwengu mwengine zaidi ya hii dunia tunayoishi huwezi kuyajua bila ya msaaada wa mitume waliopita .mfano Mungu kila zama alikuwa anamteua mtu kuwa Mtume ktk zama hizo ili kuwaonya watu juu ya mambo ya kiroho na maisha baada ya kufa,na kila mtume alikuja na muujiza wake ili kuthibitisha utume wake.
Tuanze na wa kwanza nabii Adam wa baba yetu mpaka nabii muhammad s.a.w wa mwisho.lengo kuu likiwa ni kuwaonya watu juu ya life after death na yatakayokuwa akhera.Mitume hao walipewa taratibu za kuishi na kila mfuasi wa mtume husika nayeye alitakiwa afuate taratibu hizo.
Na tujue kwamba kila mtume akimaliza muda wake au zama zake sharia zake hazifanyi kazi katika zama za mtume mwengine.kama ilivyo katika uchumi wa dunia.tulianza na ujamaa.au communist na sasa tupo ktk capitalist kwa hiyo zama za comunist hazina nafasi tena ktk ulimwengu wa sasa.
kupitia quran takatifu na biblia agano la kale hazipishani saana tunaweza pata somo kuhusiana na haya mambo ya maisha baada ya kufa.
Katika zama za mtume Muhammad wafuasivwake waliuliza kuhusu ishu kama hizi tunzouliza sisi leo.mfano waliuliza nini roho?Mungu kupitia MUhamad aliwajibu kuwa.Hakika roho ni katika ulimwengu wa Mungu na binaadamu kamwe hatapewa elimu hii ya roho mpaka dunia ifike mwisho..
Pia Quran inasimulia kuhusu hayo mambo ya life after death kupitia Muhammad.kwa kusema .binaadamu akifa roho yake inatengana na kiwiliwili na roho hii inabebwa na malaika na kufikishwa katika ghala la kuhifadhia roho huko juu mbinguni .hapo ndio zinasubiri parapanda au baragumu la mwisho wa siku ya kiama.na hapo kila roho itakusanyika ktk kiwanja na kupata hukumu yako kutokana na matendo yako uliyofanya hapa duniani kwa mujibu wa mrengo uliyokuwa unaifata km ni sahihi sawa na kama haukuwa sahihi pia utapata yanayokustahili ,jahannam au peponi ()bustanini)...