Life after Death: What happens after death?

[emoji3578][emoji419][emoji419][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nobody knows what happens after death. Essentially, everything and everybody goes to the oblivion or where you were before being born. Before being born, you were nowhere . Thus, when you pass on you go back to your innateness as the rule of the nature.
 
off
course there are more creatures than human beīngs we know, lakini hili la kbadili mwili baada ya kufa i real doubt it because if so hawa watu wangerevisite their past friends, localities n.k...... yes kuna maisha baada ya kufa lakini sii kama haya tunayoishi bali ni maisha ya kufufuliwa na kulipwa kutokana na matendo yetu..
 
We umejuaje?
 
Kuanzia leo mpaka atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, as my tribute to this fallen hero, let's celebrate the life and the time of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Edward Lowassa, umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…