Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
still no life after deadh mkuu ukishakufa na lako limekwisha mkuu.walau umenifanya nicheke... Lol !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
still no life after deadh mkuu ukishakufa na lako limekwisha mkuu.walau umenifanya nicheke... Lol !!
maandiko matakatifu yanasema kila nafsi itonja mauti na kuna maisha baada ya kifo,kwani tunaambia mwana wa adamu atashuka kutoka mawinguni na wafu watafufuka naye atakuja kuwachagua wema na waovu kutokana na matendo yao.
Na baada ya kifo inamaana ile pumzi aliyopuliziwa binadamu inatengana na mwili na kushuka kuzimu ikiwa haina ufahamu tena na wala hakuna mateso yeyote mtu atakayeyapata baada ya kufa hadi pale parapanda ya mwisho itakapolia ambayo itawafufua wale wote waliyo kufa na waliosalia hai wale wenye dhambi wote watakufa na wale wasiyo na dhambi watabadilishwa mwili wa kibinadamu na kuvalishwa mwili mpya na hapo ndipo yesu atakapowaambia karibu kwangu wanagu wazuri nilikwenda kuwandalia makao na sasa nimekuja kuwaachukua, oooooh halelujah......
Na tofauti ya ufufuo ni miaka 1000 biblia inatuambia kati wale waliyofufuliwa wasiyo na dhambi na wale waliokufa wakiwa na dhambi,na mambo yote yatapita lakini neno litasimama.
Na bwana awabariki wote.
Ninefurahi kuona mada hii hapa JF,inaonyesha jinsi gani watanzania au waafrika tunavyoanza kukomboka kifikra na kuwa na mawazo huru.Wazee wetu enzi zao huwezi kujadili mambo haya na utaambiwa umekufuru.Sasa yanazungumzwa hadharani na yanapingwa!Angalia baadhi ya maandiko hayo, hata kama wewe si muumini !!
[h=3]John 11:25[/h] Jesus said to her, I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live,
[h=3]John 5:24[/h] Truly, truly, I say to you, whoever hears my word and believes him who sent me has eternal life. He does not come into judgment, but has passed from death to life.
[h=3]Luke 23:43[/h] And he said to him, Truly, I say to you, today you will be with me in Paradise.
[h=3]John 3:16[/h]For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.
[h=3]Matthew 10:28[/h] And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. Rather fear him who can destroy both soul and body in hell.
hivi kwani kuna kufa!ukifa umekufa, ni uongo wa dini zetu eti kuna maisha baada ya kifo!
zote ni imani kama wewe unavyoamini kuwa hakuna maisha baada ya kifo kwa kuwa hakuna wa kuthibitisha ikiwa ili linalozungumzwa lipo au halipo.maneno bila vidhibitisho hakuna kitu wakuu hakuna maisha baada ya kifo maisha ndo haya kula vizuri uwezavyo kabla ujarudi udongon
yote hayo yapo juu ya neno moja tu "IMANI"Angalia baadhi ya maandiko hayo, hata kama wewe si muumini !!
[h=3]John 11:25[/h] Jesus said to her, I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live,
[h=3]John 5:24[/h] Truly, truly, I say to you, whoever hears my word and believes him who sent me has eternal life. He does not come into judgment, but has passed from death to life.
[h=3]Luke 23:43[/h] And he said to him, Truly, I say to you, today you will be with me in Paradise.
[h=3]John 3:16[/h]For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.
[h=3]Matthew 10:28[/h] And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. Rather fear him who can destroy both soul and body in hell.
ni kweli kuna utenganisho wa mwili na roho (pumzi au mtu wa ndani) lakini wakati tunasubiri ile parapanda ya mwisho kuna mahali yule mtu wa ndani anakaa - ndio maana kna paradiso na kuna kuzimu hivyo ............... Kama wewe ni wa mbinguni - utapumzika paradiso - kama wewe ni wa motoni - utapumzika kuzimu - kwenye mateso .................... Soma habari ya maskini lazaro na tajiri in the bible..... Mungu akubariki sana.
Angalia aya hizi hapa kwenye surat-AL-A'NKABUUT (QUR-AN, SURA YA 29)
57: Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
58: Na ambao wameamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawaweka katika maghorofa
ya Peponi yenye kupitiwa chini yake mito, wakidumu humo. Ni mwema ulioje huo
ujira wa watendao.
59: Ambao walisubiri, na wakamtegemea Mola wao Mlezi.
Nyengine hizi hapa:
63: Na ukiwauliza: Ni nani anaye teremsha maji kutoka mbinguni, na akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake? Bila ya shaka watasema: Ni Mwenyezi Mungu. Sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Bali wengi katika wao hawafahamu
64: Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua
-Kwanza unaamini dunia iliumbwa, tayari umejikanyaga.there is no life after death aise ,toka kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewahi kufa akarudi kusema so siammini hii theory ya life after death unless it has proved me wrong
Sasa hii mistari inasaidia nini kuonyesha kuwa kuna muislam aliyewahi kufa na kufufuka ili je tueleza Mbingu ilivyo?Mistari yote ni junks tuu umeweka hapa.
Wislam wanaweza sema jehanum zaidi kw avile wanaenda kila siku bila kufa, wanakwenda tafuta nguvu za giza za kutishia watu duniani.
Qur-an sura ya pili
2:55 And [recall] when you said, "O Moses, we will never believe you until we see Allah outright"; so the thunderbolt took you while you were looking on.
2:56 Then We revived you after your death that perhaps you would be grateful.
Hiyo ni mifano michache tu inayofafanua na kuthibitisha maisha baada ya kufa !!
Mizimu ni dhana(phenomena).
ndio nin unasema sasa hapa?waislam mnaangalia mistari y akuchekesha halafu mnaona vitu vingi.Hembu soma vizuri usema nani kafufuka ktk uislam na kuweza tupa historia ya ahera.
Haya mamistari ya hovyo yapo mengi kt quran,ila ni waislama tuu ndi mabingwa wa kuona miracles ktk hii mistari kw avile inatajataja vitu ila details huku ikiwa too general .MIstari ya kuran ipo jumla jumla kiasi cha kuifany akila muislam kuion akuwa inawakilisha jambo fulani kama fikra zake zitakazo mwambia.
Kwani kufa ni nini?
Who has death experience to verify, go back to the Bible and Quran