Life after Death: What happens after death?


ni kweli kuna utenganisho wa mwili na roho (pumzi au mtu wa ndani) lakini wakati tunasubiri ile parapanda ya mwisho kuna mahali yule mtu wa ndani anakaa - ndio maana kna paradiso na kuna kuzimu hivyo ............... Kama wewe ni wa mbinguni - utapumzika paradiso - kama wewe ni wa motoni - utapumzika kuzimu - kwenye mateso .................... Soma habari ya maskini lazaro na tajiri in the bible..... Mungu akubariki sana.
 
Kama hakuna mwanadamu anayejuwa atakufa lini, basi kwa hakika yupo anayejuwa utakufa lini.
 
Ninefurahi kuona mada hii hapa JF,inaonyesha jinsi gani watanzania au waafrika tunavyoanza kukomboka kifikra na kuwa na mawazo huru.Wazee wetu enzi zao huwezi kujadili mambo haya na utaambiwa umekufuru.Sasa yanazungumzwa hadharani na yanapingwa!
Mi mtazamo wangu ni kwamba hakuna maisha baada ya kufa.Nakumbuka tangu nna miaka 4 hivi nilikuwa nikiwaza sn kuhusu suala hili na ishu ya dini nma Mungu kwa ujumla.Nilimaliza kuogeshwa usiku nakaa na kuaangalia nyota na kuwaza huku nikimuuliza mama yangu maswali mengi na magumu.Nilipokua mkubwa nikabahatika kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo imani tofauti.Na nilisoma sayansi pia...hiyo kdogo ndo ilimake sense kwa kuwa kila kitu kinaelezewa kwa logic na ushahidi.Kwa bahati mbaya binadamu tuko hivyo hasa waliosoma mana shule inakufundisha kutafakari,kujiuliza na kudadavua mambo.Kuishi baada ya kufa inaonekana ni dhana ya watu wa zamani ambao kufikiri kwao kulikuwa na ukomo na wakiishi kwa kuamini waliyoambiwa wakiwa watoto au kwenye dini zao ambapo uendana na vitisho kama kuchomwa moto wa milele.Ni ajabu kuona mpale leo kuna watu wanaamini kwamba eti mtu ameumbwa na udongo!Habari zilizo kwenye vitabu kweli ni za kitoto sn(myth)ni vigumu kuamini kwa mwene fikra pevu...!life after death is a HOAX...mambo ya km babu wa Loriondo.
 
maneno bila vidhibitisho hakuna kitu wakuu hakuna maisha baada ya kifo maisha ndo haya kula vizuri uwezavyo kabla ujarudi udongon
zote ni imani kama wewe unavyoamini kuwa hakuna maisha baada ya kifo kwa kuwa hakuna wa kuthibitisha ikiwa ili linalozungumzwa lipo au halipo.
 
yote hayo yapo juu ya neno moja tu "IMANI"
 
Kabla ya kujiuliza swali kama hilo ni muhimu kujiuliza binadamu ni nani? je binadamu anaweza kufananishwa na boga au jiwe? binadamu ni zaidi ya hapo. Binadamu ana roho na roho ndio mwanadamu mwenyewe. Tuanzie hapo kwanza......
 

Mkuu ule ulikuwani mfano wa kisa(story),na mwisho wa story kuna mafundisho yake..sidhani kama ilikuwa namaana ile Literaly..
 

Sasa hii mistari inasaidia nini kuonyesha kuwa kuna muislam aliyewahi kufa na kufufuka ili je tueleza Mbingu ilivyo?Mistari yote ni junks tuu umeweka hapa.

Wislam wanaweza sema jehanum zaidi kw avile wanaenda kila siku bila kufa, wanakwenda tafuta nguvu za giza za kutishia watu duniani.
 
there is no life after death aise ,toka kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewahi kufa akarudi kusema so siammini hii theory ya life after death unless it has proved me wrong
-Kwanza unaamini dunia iliumbwa, tayari umejikanyaga.
nini kinakuaminisha kuwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyeawhi kufa na kurudi?Kama unawaamini hao waliokuhadithia au akuandikia kuwa hakuna aiayewahi fufuka, kwanini usiamini wanaokuwambia Yesu alifufuka?
 

Sawa mkuu ni vyema kubakia na vile unavyoelewa, kwani Mungu amewapa waja uhuru wa kuchagua !!
 

ndio nin unasema sasa hapa?waislam mnaangalia mistari y akuchekesha halafu mnaona vitu vingi.Hembu soma vizuri usema nani kafufuka ktk uislam na kuweza tupa historia ya ahera.

Haya mamistari ya hovyo yapo mengi kt quran,ila ni waislama tuu ndi mabingwa wa kuona miracles ktk hii mistari kw avile inatajataja vitu ila details huku ikiwa too general .MIstari ya kuran ipo jumla jumla kiasi cha kuifany akila muislam kuion akuwa inawakilisha jambo fulani kama fikra zake zitakazo mwambia.
 
Mizimu ni dhana(phenomena).

Tafuta Sherrif wa ukweli maeneo ya pwani halafu atakuapa ride to hell na kurudi,Kuwa tayari kuyakubali masharti ya shetani,then utapata ride ya bure ndipo ukirudi utajua kuna mizimu, ila utahitaji nguvu za ziada kutoka ktk huo mkataba.
 

Ni kama unavyopoteza siku na miaka kusoma vitabu vya literature na ukaweza kuelewa hapa pamekusudiwa nini
kisiasa, kijamii, kiuchumi, n.k. vile2 Qur-an, na vitabu vyote vya Mungu vimekuja kimtindo huo. Bilashaka Mungu ni
mjuzi zaidi yetu na sisi binadamu, tumepata kidogo tu katika elimu yake!!

Labda useme tu mimi siamini chochote, ueleweke, kuliko kuleta excuses kwenye maandiko yaliokamilika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…