Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

umesema ndiyo maana wajawazito huwa hawaendi kuzika wanahofia wale viumbe ambavyo vipo tumboni vinaweza vikaitwa na vikaitika,naomba kuuliza kwamba vitaitwa kwa jina gani au vitaitikaje wakati bado vipo tumboni mwa mama zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Life begins with conception, kwenye ulimwengu wa roho, kunitumia spiritual names, spiritual language, wewe huisikii, ndio maana watoto wanawaona wachawi.
P.
 

Mkuu Pasco

Human being is a composition of three elements namely mind, body and soul. Kindly check facts once again, hopefully your submission will be ever powerful.

When man loses dominion of the world and it's content, the spirit of death takes over in diverse shapes

Regards

#50thebe
 
Maandiko yanasema walio hai wanajua kuwa watakufa bali wafu hawajui chochote.Kwahiyo ni upagani kuamini kuwa wafu wanaweza kuwaita walio hai ili waungane nao kifoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata neno upagani ni ubaguzi wa wazungu kuzibagua dini zetu za asili.

Mtu asiyeamini Mungu wao walimuita mpagani, that was not fair na it's not fair kusema hoja hii ni ya kipagani.
P
 
Alizingumzia Jambo hili Gadna japo si kitaalamu Sana but contents na context yake ndio hii.

Wapumzike Kwa Amani !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama zilivyo movie za mizimu inakuwa roho tu ingekuwa na mwili ungeweza kuiona kwa kuwa haina mwili huwez kuiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Life is like a video game and the soul is your player. Once it loses in a stage (death), it plays again. Remember that the game character (you) doesn’t realise that he was born and died before.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka na kukubali sana kwenye nyanja za siasa,uchumi na kazarika.hayo mambo mwachie mshana jr.sijamaliza kusoma uzi wako.maana naona kichwa cha habari kama
lowasa kumfuta magu ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mind and soul is one and the same, mind is controlled by conscious while soul is controlled by the subconscious and its immortal
P
 
Kwa hiyo tukikesha na kuomba ndio hatufi?

Sent using Jamii Forums mobile app
No kufa lazima wote tutakufa, hakuna probability of death, it's only certenity.
Kukesha ukiomba ni kuiandalia makao mema Roho yako baada ya kuacha mwili, Roho haifi, it's either unakwenda mbinguni peponi kwenye raha ya uzina wa milele, au motoni kwenye jehanum ya moto wa milele .

The choice is yours.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…