Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Moja Sabaya ana kesi ya robbery huo ni ujambazi pingu inamuhusu
Magufuli ni binadamu alikuwa na makosa mengi tu.tutaenzi mema ila makosa yake atayabeba
I fear no death what i fear is one day i wake up and find my self re incanated
 
Mbona ulikejeli Lissu kupigwa risasi kama kweli unatetea haki na utu wa watu wengine?

Pascal, you are trying to show us that you are man of principle, but actually you are not.

In short, you are not objective and you will never be so. We know you very well.
[emoji106][emoji106][emoji817]
 
Paskali asilete unafiki hapa,

-Alitetea na kusifia sana ukatili wa mwendazake kwa kivuli cha uzalendo.

-aliwachongea waandishi wenzake mpaka wakanyea debe mf:kabendera.

Kilichotokea kwa KABENDERA,
100% ilianzia kwa paskali kusambaza mabandiko yake na kushauri ashughurikiwe.

Na kweli jiwe alimshughurikia mpk mama yake akafariki uku mwanae akiwa jela.

Kama kweli karma ipo,
Basi ianze na wewe mwenyewe hapo paskali.

USILETE UNAFIKI HAPA
 
Habari mr Mayala! naomba niwe muwazi kuwa mm ni muumini mzuri sana wa habari zako na huwaga nazitumia kwenye mijadala yetu ya vijiweni wakati tukiwa tunajadil hapa na pale kuhusu Taifa letu pendwa. Kama kuna sehemu nitakuwa nimekosea basi ni vyema ndugu yangu akanisahihisha.

Bila shaka mm nafahamu kuwa wewe ni mmoja wa wahandishi wa habari wa habari za kiuchunguzi. Binafsi nilitegemea kuwa ulikuwa umepiga kambi huko wilayani hai! Ili kuchunguza kinachoongelewa kuhusu ole Sabaya kwenye mitandao ya kijamii kama moja ya chanzo kikuu sana cha habari kwa maisha ya sasa.

Mimi nilijuwa leo ndo leo! mbifu na mbichi kuhusu ukweli wote wa wilaya ya hai. Nilitegemea kiongozi kutuzibitishia kama hizi habari ni za uwongo na zimepikwa kimkakati na wataalamu wa hali ya juu sana wa kutunga habari za uwongo na kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii! na serikali kuzibeba hizo taarifa kuwa ni za kweli kumbe si zakweli kwa manufaa yao binafsi na kutuambia kuwa habari hizo zimeandaliwa na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa waliopo serikalini kwa kujificha kwenye migongo ya wengine!

Au wafanyabiashara wakubwa ambao siyo wafànyakazi wa serikalini, lkn Wana ushawishi mkubwa sana serikalini! Sema kwa bahati mbaya kwa JPM waligonga mwamba! Au nilitegemea sana kiongozi wangu pascal leo uje na Andiko la kusema kuwa unaipongeza serikali kwa maamuzi waliyoyachukua kwa ole Sabaya na kusisitiza kuwa serikali ilichelewa sana kuchukua maamuzi. Na kumpongeza rais wetu wa sasa kuwa maamuzi uliyoyachukua ni sahihi kabisa kwa sabaya. Lkn yote haya yalitakiwa uyaandike kwa kutuambia ni kipi ulichokipata huko hai na kwa miezi au wiki ngapi ulipiga kambi huko hai. Kwa leo kiongozi wangu sijafurahi hata kidogo! Kwani haujanieleza ukweli wa Sabaya! Ni kweli ameyatenda hayo yanayoongelewa au Cyo kweli na sababu zote ukazitaja! Kwa sababu mapokezi ya haya mamitandao ya kijamii bado si mazuri kwetu. Tumeingiza mikono, miguu, kichwa na tumbo na tako pia. Na pia sasa hivi majasusi ndo waanzilishi wa mada moto moto. Hao .
 
Mjomba unashauri double standard na cherry picking ziachwe ila unataka double standard kwa msingi wa kupendwa na JPM itumike.

Rama Kadosi pia akifikishwa mahakamani hua anakua amevaa pingu na hua anachuchumaa.
 
Serikali hizi haziongozwi na malaika zinaongozwa na watu na kama binadamu tulifanya makosa sasa makosa yetu yaacheni myarekebishe lakini sasa hata mema tuliyoyafanya mnayahoji? nukuu ya mwalimu nyerere.
 
Kama mtu akifa roho inakua bize kuangalia yanayoendelea sasa roho ambayo imepangiwa kusifu na kuabudu au iliyopangiwa adhabu inapata wapi muda wa kufanya umbea?

I mean ni zamu yako kuongoza kwaya ya kusifu na kuabudu halafu wanagundua haupo umerudi duniani kuangalia nani kamrithi mkeo. Weird, right?
 
Wewe babu unazeeka vibaya.

Hatuwezi kuwa na taifa la kuwaonea huruma viongozi waliotenda kinyume kabisa na sheria zinavyotaka.

Kwa namna yako ya kutetea uovu hatuna budi kukuunganisha na maovu yao kama tunavyomuunganisha Diamond na maovu ya rafiki zake
 
Mkuu
Paskali asilete unafiki hapa,

-Alitetea na kusifia sana ukatili wa mwendazake kwa kivuli cha uzalendo.

-aliwachongea waandishi wenzake mpaka wakanyea debe mf:kabendera.

Kilichotokea kwa KABENDERA,
100% ilianzia kwa paskali kusambaza mabandiko yake na kushauri ashughurikiwe.

Na kweli jiwe alimshughurikia mpk mama yake akafariki uku mwanae akiwa jela.

Kama kweli karma ipo,
Basi ianze na wewe mwenyewe hapo paskali.

USILETE UNAFIKI HAPA
Ni kweli kabisa
Aisee jamaa ni mchomi hatari sana na ni chawa wa mwendazake
 
Back
Top Bottom