Bima ya maisha ni nzuri, na imegawanyika katika makundi mbalimbali, kwahyo mtu anaangalia anstaka kuwekeza katika nini,
Kuna kundi la kwanza linaitwa fanaka, hapa mtu anakuwa anaweka pesa kidogokidogo kulingana na uwezo wake. Na muda wa kuiva au kumature kiwango cha chini ni miaka mitano cha juu kabisa miaka 20.
Kwahyo mtu anaamua katika uwekezaji wake awe anachukua kuanzia miaka mingapi.
Kundi la pili ndio elimu, hapa mtu anawekeza kwaajili ya elimu yake au watoto wake nayo inaanzia miaka mitano Hadi 20
Muhusika anachagua tu labda anataka kuwekeza elimu ya mtoto wake kwa miaka mingapi.
Faida zinazopatikana zipo nyingi ambapo mbali na kusubiria hela yako immature kwa kipindi cha miaka mitano kuna riba unakuwa unapata,
Kama ikitokea umefariki hata chini ya muda wa uwekezaji mtoto au familia yako atalipwa sawa na uwekezaji wa ile miaka uliyochagua.
Hiyo ni kwa upande wa elimu.
Upande wa nafaka kama ukipata msiba bima itakulipa kiasi Fulani cha pesa kulingana na uwekezaji wako,
Kiufupi ni hayo tu kwa maelezo zaidi unaweza nipm .
Sent from my Infinix PR652B using
JamiiForums mobile app