sleee
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 212
- 306
Habar za kazi wadau,
Naomba kupewa Elimu ya kutosha kuhusu Life Investment Insurance maana naona leo Ndugu Mfanyakazi wa Jubilee amekuja ofisini kutushawishi kujiunga na Bima ya Maisha wanayotoa.
Akasema wanatoa ya Eimu na ya Uwekezaji.
Mimi nikawa na Interest kwenye Uwekezaji.
Kwakuwa bado sijaiva Vizur kuhusu jambo hilo nikaona nililete kwenu Wadau Nipate More Clarification.
Ni kampuni ipi hapa Bongo ni nzuri zaidi kuwekeza LiFe Investment Insurance?
Pili ni changamoto zipI ambazo mtu anaweza kuzipata akishajiunga na huduma ya Bima ya Maisha kwenye Uwekezaji.