Life is a journey.....nimemiss days of my childhood.

Life is a journey.....nimemiss days of my childhood.

Mashikolo mageni haya, mashups mashika mashilongo hoyeee.

Umenifanya nimkumbuke mmakonde wangu... Akikasirika alikuwa ananitukana...

Wee Kasinde weewee na unyamwezi wako manangumenenkunyolee nkunyolenee....

Namie nikawa namjibu matonya ndonya... Halafu nakimbia mbioo.

Atakayemuona Tyta mwambie Kasie anamsabahi.
 
Wale watoto town hata kilugha hatujui tukutane kule kwa siku zote
 
Mi pia namiss life la kijiji la enzi hizo, sasa hivi vijiji vimebadilika
 
Back
Top Bottom