Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu mambo vipi? Madogo hamjambo?
Twende moja kwa moja kwenye topic, ktk maisha yetu kuna marafiki zetu ambao tuliachana nao tukiwa shule na hatujaonana kwa kipindi kirefu, kama unavyojuwa maisha hayamnyokei kila mtu kuna wengine tuliendelea na masomo wengine hatukuendelea hatua inayofata, wengine tushaoa wengine bado hatujaoa, wengine bado tuna hali mbaya kiuchumi wengine tushatoboa
Kuna wengine hata kupata milo miwili kwa siku sio suala la uhakika, wengine walienda mamtoni wengine walirudi kijijini, bila kusahau kuna wenzetu walishafariki, inshort life is not cool to everyone, kwaiyo popote unapoonana au kuwasiliana na rafiki yako wa muda mrefu mlioachana shule tafadhari jitahidi maongezi yenu yawe simple tu kusalimiana na kujuliana hali inatosha usilete yale maswali binafsi sana mfano unafanya kazi gani?, Umeoa?, Una mtoto? N.k
Usisababishe mwenzako ajione hana thamani kwa sababu wewe umeshatoboa au upo katika nafasi nzuri ya kiuchumi, maisha ni kupanda na kushuka, kikubwa wote tupo hai.