Life is not fair aisee! Malipo ya show moja ya Diamond ni sawa na ya show 5 za Alikiba ktk Fiesta

Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.

Life is not fear aisee....
JAMANI KIINGEREZA KILISHATUSHINDA KWANINI TUNALAZIMISHA. Life is not fear ndio nini? Na usifananishe SHOW ya mafungu mikoani na hizi show za KIBABE za mtu mmoja.wale wapo kumi na ushee
 
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.

Life is not fear aisee....


kweli life haliko fair JAMES Mmesoma nae lakini anaingiza 2,500,000 kwa mwezi wewe unaingiza 500,000 mshahara wako wa miezi mitano kweli life sio fair.


KOMAA NA HALII YAKO UTAKULA USAWA WA KAMBA YAKO. alikiba kamba yake ndipo ilipo ishia.

ukiiga TEMBO kunya utapasuka msamba.
 
Madam Mwajuma

Naunga mkono hoja.

Kila kitu ni biashara siku hizi.

Miye nauza mafundisho ya injili,vitabu na vijarida vya injili,ila kuna mchungaji kaajiliwa kanisani na mshahara wake ni peanuts.

Nimeipenda nukuu yako.
 
Yaani bila kujilinganisha na Ali K hamuwezi kufanya mambo yenu mbona mnalalamika nyinyi ambao mnapata hela nyingi!?
 
Mbona unamsemea?

Kiba mwenyewe umemjulia kwenye muziki

Pambana na hali yako mkuu
Sasa unafanya mziki halaf gar unayotembelea hata yangu nzur,au nyumba unayokaa ni sawa tu na yangu ,au hyo mil2 si bora uje uniimbie mim nkupe,hhahhahaah,..aache tu mzikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…