Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life is not fear>>> Life is not FAIRDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
JAMANI KIINGEREZA KILISHATUSHINDA KWANINI TUNALAZIMISHA. Life is not fear ndio nini? Na usifananishe SHOW ya mafungu mikoani na hizi show za KIBABE za mtu mmoja.wale wapo kumi na usheeDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Kazi ya ukuwadi tu, hata hujui unachoandika...toka hapa, fear weDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Aliesema anaridhika nan.kiba aache tu mzikiAs long as kiba anaridhika, sio mbaya
Mbona unamsemea?Aliesema anaridhika nan.kiba aache tu mziki
Sasa unafanya mziki halaf gar unayotembelea hata yangu nzur,au nyumba unayokaa ni sawa tu na yangu ,au hyo mil2 si bora uje uniimbie mim nkupe,hhahhahaah,..aache tu mzikiiMbona unamsemea?
Kiba mwenyewe umemjulia kwenye muziki
Pambana na hali yako mkuu