gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Umetoa taarifa kwa ushabiki mno hadi taarifa imekuwa ya mashaka kuiamini kutokana na uwasilishaji wakoDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Samahani mkuu unaweza kututafsilia huu uzi wako wa cha ugoko????natanguliza shukrani zangu za dhatiDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
So what next!Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
[emoji2][emoji2][emoji2] not FEAR mkuuKWELI LIFE IS NOT 'FEAR', HAIWEZEKANI WENGNE WANAANDIKA MANENO MAGUMU YA KIINGEREZA LAKINI WENGNE HATA NENO 'FAIR' LINAWASHNDA.
Alafu jifunze kizungu mshamba wewe..! LIFE IS NOT FAIR not Life is fear..! Two different things.Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
Kimataita hawalipwi 20mil kwa show.Diamond sio wa level ya msanii yyt tanzania na east africa. Diamond kwa sasa ni international. Mkubali au mkatae dogo keshatusua hizo kelele zenyu hazimzuii kukata mbuga mwacheni aende jamani
Sisi watz ukaidi ni sifa yetu...kukubal ukwel ni ngumu...ila ipo siku wataelewaDiamond sio wa level ya msanii yyt tanzania na east africa. Diamond kwa sasa ni international. Mkubali au mkatae dogo keshatusua hizo kelele zenyu hazimzuii kukata mbuga mwacheni aende jamani