gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Umetoa taarifa kwa ushabiki mno hadi taarifa imekuwa ya mashaka kuiamini kutokana na uwasilishaji wakoDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....