Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV

Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV

Kisayansi kuna asilimia (1)ya watu duniani ambao damu zao hazipati UKIMWI kabisa
 
Maisha sio fair kweli darasa la saba kamuajiri mwenye master
 
Good people are hard to find.
Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo.

1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na mbaya zaidi wanafanya hivyo watu ambao hata hawazijui hata backgrounds zao amd yet hawawi infected ma HIV. Lakini kuna mtu let say a woman, hajawahi kusex kabisa then anaamua siki hiyo ajaribu and anaishia kupata Ujauzito na HIV juu.

2. Kuna watu wanaiba kila siku iendayo kwa Mungu na hawakamatwi. Ila kuna mwingine anaenda kuiba siku yake ya kwanza tu anaishia kupigwa vikali na kuchomwa moto na kufa.

Kuna mifano mingi sana ambayo inaweza kuonesha how life is not fair. Mtu unaweza kuongezea mingine...

Karibuni.
Katika kila kundi la watu lazima wawepo strong na weak,kwa kawaida strong people lazima wawe wachache katika kila kundi na weak lazima wawe wengi hiyo ni nature mkuu.

Kuna jamaa wachache sana wana uwezo mkubwa wa kupambana na majanga mazito, lakini pia wapo ambao matatizo yanapowakaribia huwa wanapona katika hali zisizo za kawaida aisee.

Ndiyo maana utaona kosa/tatizo linalofanana wametenda/limewapata watu wawili lakini madhara yanayowapata hayalingani.
 
Wote MKEO na MCHEPUKO wanapata mimba kwa wakati mmoja, wanajifungua na baada ya kupima DNA hakuna mtoto hata mmoja ambae ni wakwako

Hii ndo tunaita "KUPOTEZA NYUMBANI NA UGENINI"

Life is not fair kabisa yaaan
hahahahaha
 
MKUU kwani hujui kwamba hapa duniani kila mtu ana bahati yake? ngoja namm nikujibu kwa mfano,,,,, petro alimsaliti yesu kwa kumkana ila baadae ndo akaja kuwa kiongoz wa kanisa na saiv anakula bata huko alipo ila kuna yule jamaa wa auditing yeye nae alimsaliti yesu na matokeo yake mpaka leo hakuna anaejua kinachompata huko alikokwenda
 
Nyota njema hizo...

Mara nyingi careless, don't care or don't mind people hufikwa na bahati sana kama hizo...

Wale ambao wapo very careful mara nyingi huangukia pua...

Cc: mahondaw
 
Kweli kabisa unakuta wapo watu wamejiandaa kugombea urais kwa miaka mingi lakini unashangaa siku zikifika linasukumizwa ndani lijitu lisilojua chochote jinsi ya kuishi na kuongea na wanananchi
Acha kupiga piga kelele, mropokaji asiye jua siri ni nini, na maongezi ya watu wawili ni nini anaomba umuombee. Piga magoti sasa umuombee mkemia mropokaji
 
Kuna mtu alibandika uzi akionesha jinsi maisha yalivyo ya ajabu, watu wanaofanya hovyo hovyo wanafanikiwa lakini wewe unakuwa very smart lakini unaangukia pua kila siku
Umedandia vipaji, jitafutie kipaji chako. mnalaumu laumu bure tu, kuna msemo wa umakondeni unasema '' Iga ufe''/upotee!'' fuata jini likunyonye macho.

wengi mnaiga fulani kafanya Duka na wewe hapohapo, kumbe siri ni mwenzako anaiba unga wa jeshi, kuongezea mtaji.

Flani ana mademu wengi na wewe unafanya ivoivo unapata ukimwi. unaanza kulialia humu! kumbe siri mwenzako anapaka mate na mkaa wa pilipili, kwanza.

mwenzako ni mwizi kumbe siri ni nusu jini, ana hirizi mpaka matakoni. SHAURI YAKO!
 
Best thread of all times. 👋🏿👋🏿👋🏿👋🏿

Life is not fair..

Kina watu wanatafuta watoto usiku na mchana...wengne wananyofoa mimba na kuwatupa.

Kuna watu hajamaliza chuo tayar kazi inamsubili....mwenzake kazunguka na bahasha hadi soli ya kiatu imeisha miaka 10 hapati kazi.

Life is unfair...

Hujawahi kusafiri miaka kadhaa...siku ya kusafiri unapata ajali unakufa....mfanyabiashara kila uchao anasafiri hapati ajali wala nn.
 
Wote MKEO na MCHEPUKO wanapata mimba kwa wakati mmoja, wanajifungua na baada ya kupima DNA hakuna mtoto hata mmoja ambae ni wakwako

Hii ndo tunaita "KUPOTEZA NYUMBANI NA UGENINI"

Life is not fair kabisa yaaan
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo.

1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na mbaya zaidi wanafanya hivyo watu ambao hata hawazijui hata backgrounds zao amd yet hawawi infected ma HIV. Lakini kuna mtu let say a woman, hajawahi kusex kabisa then anaamua siki hiyo ajaribu and anaishia kupata Ujauzito na HIV juu.

2. Kuna watu wanaiba kila siku iendayo kwa Mungu na hawakamatwi. Ila kuna mwingine anaenda kuiba siku yake ya kwanza tu anaishia kupigwa vikali na kuchomwa moto na kufa.

Kuna mifano mingi sana ambayo inaweza kuonesha how life is not fair. Mtu unaweza kuongezea mingine...

Karibuni.
Hatufanani
 
Back
Top Bottom