Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Nampenda Mungu kwa kadir ya uwezo wa akil zangu na nguvu na roho yangu pia LAKINI hapo kwenye ishu ya ZAKA kwakwel huwa napata napo shida sana sana.Hilo somo halijawah kuniingia vizur (may be sijakutana na mafundisho mazuri ya kiroho ukiweka mbal haya ya kisanii sanii) na kwakwel mm sio mtoaji wa zaka kabisaa na hata hizo mara chache nilizotoa sijawah kutoa kwa moyo mkunjufu na kwakwel sikumbuki matokeo yoyte mazuri ya kiuchumi ya kutoa zaka but nataman .Mkuu kila upande una kanuni zake...upande wa Giza unakanuni zake na upande wa nuru una kanuni zake hakuna kitu kama fungu LA kukosa au fungu la kupata ...fata kanuni za upande uliopo kama upo upande wa nuru fata kanuni za huko hakika utaona matunda ya kazi yako.
Hakikisha humuibii Mungu zaka na sadaka ya mapato yako ...katika kila jambo mtangulize Mungu usizitegemee akili zako nae atakunyooshea mapito yako....kanuni ya kupokea ni kutoa hakuna mchawi katika hilo... Na kila jambo na wakati wake trust the process.
Though sina uhakika sana kama hii inaweza ikawa sababu pia ya mimi ku struggle sana.