Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

Nampenda Mungu kwa kadir ya uwezo wa akil zangu na nguvu na roho yangu pia LAKINI hapo kwenye ishu ya ZAKA kwakwel huwa napata napo shida sana sana.Hilo somo halijawah kuniingia vizur (may be sijakutana na mafundisho mazuri ya kiroho ukiweka mbal haya ya kisanii sanii) na kwakwel mm sio mtoaji wa zaka kabisaa na hata hizo mara chache nilizotoa sijawah kutoa kwa moyo mkunjufu na kwakwel sikumbuki matokeo yoyte mazuri ya kiuchumi ya kutoa zaka but nataman .
Though sina uhakika sana kama hii inaweza ikawa sababu pia ya mimi ku struggle sana.
 


Wanasema usipotoa zaka na sadaka unamuibia Mungu. .mie sadaka natoa Sana kwa wahitaji....naamini mie kila siku natoa sadaka...tukija suala lazaka natoa10%! It works...! Toa kiroho Safi usikunje roho!
Ila sio kwa Yale makanisa yalee
 
Mungu anaangalia pia kuna wengine wakipata inakua tafrani, wanakua hawana msaada
 
Umeongea busara nzuri kama kijana.Cheers.
 
Njoo pm nikuelekeze kama anapanga au vipi..
 
Wanasema usipotoa zaka na sadaka unamuibia Mungu. .mie sadaka natoa Sana kwa wahitaji....naamini mie kila siku natoa sadaka...tukija suala lazaka natoa10%! It works...! Toa kiroho Safi usikunje roho!
Ila sio kwa Yale makanisa yalee
Ofcz.Hapo kiroho safi hapo ndio shida ndo maana nahis ni mazingira yananiathiri.anyway acha tuendelee kutafuta tu
 
Ongea na Yesu Kristo mwambie kila shida yako na mwombe akusaidie kupata kazi na riziki ya kutosha, omba, omba, omba bila kuchoka.Kamwe usiende kwa waganga kwani mambo yako ndio yatakuwa mabaya zaidi.
 
Hebu nielekeze kwenye ushirikina huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…