Life is not fair

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ule wakati uko chuo ndiyo umeanza kuonja pombe, mnaitana vyumbani Jumamosi au Ijumaa jioni mnaanza kunywa bapa kabla ya mtoko ili mkifika club unywe moja tu kubana matumizi.

Umeanza kupenda wine na hata wataalamu wa afya wanasema red wine ni nzuri kabla ya kulala inasaidia mapigo ya moyo.

Umeanza kazi sasa unauwezo wa kunywa red wine kwa kijinafasi. Lakini inabidi unywe glass moja tu kuogoba unene.
 
Mhu Mimi dry white. Zote Sawa. Hawkins cha unene. Check wafaransa Nina Italians compare na wamarekani.
 
Maisha yanabadilika kutokana na mazingira pamoja na wakati mkuu

So hayo ni kati ya mabadiliko katika maisha
 
Mhu Mimi dry white. Zote Sawa. Hawkins cha unene. Check wafaransa Nina Italians compare na wamarekani.
Wafaransa wanakula Mediterranean food ambayo ni healthier kuliko burgers za Wamarekani
 
Konyagi +safari+balimi+kitoko ndo pombe za kuaminika ayo mengine ni mbwembwe tu...
 
Mm nikinywa wine hangover siku mbili sinywagi kabisa au huwa nazidisha
 
Nilikunywa wine nusu chupa asbhi nimeamka mwili wote kama nigongwa gongwa nyundo. Castle light inatosha mengine kujiumiza wakti hela ni zangu
 
Nilikunywa wine nusu chupa asbhi nimeamka mwili wote kama nigongwa gongwa nyundo. Castle light inatosha mengine kujiumiza wakti hela ni zangu
Mmh wine nusu chupa? Mimi glass moja tu inatosha. Chupa hukaa Monday-Friday
 
Mimi napenda kunywa bia lakini ex-wangu yeye alikuwa anakunywa wine ya Chardonnay aiseee nikinywa hio kitu utasema viagra. Huwa nagegeda kama bunny rabbit
 
Mimi napenda kunywa bia lakini ex-wangu yeye alikuwa anakunywa wine ya Chardonnay aiseee nikinywa hio kitu utasema viagra. Huwa nagegeda kama bunny rabbit
Kuna Cote de Rhône kitu cha Ufaransa
 
Nusu chupa nyingi eeh. Sasa wakina sisi tunaofuta chupa nzima jee [emoji23]
Mna nguvu zenu. Hiyo glass tu tena nikiwa ninaangalia Nolly Wood ninajikuta ninasinzia glass iko nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…